Recent content by abuu muhammad

  1. A

    JamiiForums Tanzania Na hiivi ndivyo Lowassa alivyowatumia CHADEMA bila wao kujijua

    Hili la kumchafua na kumsafisha lilikuwa ni jambo la ajabu sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kitengo cha ardhi, yazuia kubomoa nyumba za Wananchi

    Hawa wananchi wamejenga huko baada ya kupewa hati na watendaji wa serikali, sasa hao watendaji wamechukuliwa hatua gani? Kibinadamu kama wanabomolew serikali lazima iandae mazingira ya kuwaweka hata kwa muda ili wapate uwezo wa kujikimu. Kushabikia suala eti kubomolewa hizo nyumba ni kwa ajili...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Ikumbukwe kuwa pia Lowassa aliwanyanyasa wafanyabiashara ambao hawakuisapoti ccm wakati yeye na kikwete wanaingia madarakani 2005, kwahiyo naunga mkono hoja coz inawezekana kutokana huyu jamaa ni mtu wa visasi sana inawezekana alipanga kuwanyanyasa wafanyabiashara ambao hawakuinga mkono cdm...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Double Standards za Serikali ya Magufuli

    Azidi kubomoa nyumba za maskini aache za matajiri!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

    Katika jambo gani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

    Nimekubali sana uchambuzi wako mkuu, ila kwa kuongezea kidogo ni kuwa, mazingira ya kisiasa ya nchi yetu hayajaegemea sana ukabila kama ilivyo kenya. Lowassa hata kama angesema lolote, athari yake ingekuwa dogo. Jengine ni kuwa, baada ya jumuiya za kimataifa (pengine kasoro chache) kuupongeza...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Misaada ya lwakatale yakataliwa bukoba

    Dah! Kama ni kweli hili ni tatizo la serikali yetu mpya. Ina maana hata wabunge wa ccm wasichangie hizo huduma za afya? Au kwa sababu tu ni mpinzani?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Watu wa mabondeni tunateseka, msaada tafadhali

    Weka Namba ya aitel money uchangiwe ukanunue turubai ujenge hema
  9. A

    JamiiForums Tanzania Seif Iddi: Uchaguzi wa Zanzibar upo pale pale

    Naona ccm wamejiandaa kwa umwagaji damu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kagame usije ukawa Nkulunzinza na 2

    Kama 98% ya wananchi wamemkubali vita itatokea wapi? Labda kama amefanya usanii.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari walioko Somalia waandamana

    Umeandika utumbo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanachokwepa Waziri Ndalichako Na Naibu wake Hiki Hapa

    Naungana na ww mkuu, wazazi pia wachukuliwe hatua kali
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hili ndio jipu sugu ambalo Magufuli hatoweza kulitumbua mpaka anamaliza muda wake

    Samahani kama umenielewa hivyo, ila sijakusudia ubaguzi
Back
Top Bottom