Double Standards za Serikali ya Magufuli

Double Standards za Serikali ya Magufuli

Mungu amuongoze Mh. Rais asiwe na double standard. Kwanza kwanini? Why? Polque.
 
Tusaidieni tamko la kutobomoa ili tuwe na pakuanzia katika huu mjadala.
 
We endelea kutafuta majungu tu badala ya kufanya kazi. Hivi unafikiri lwakatare akivunjiwa nyumba we itakusaidia kukuza kipato cha familia yako.
We nae ungekaa kimya kama hujaelewa mada
 
We endelea kutafuta majungu tu badala ya kufanya kazi. Hivi unafikiri lwakatare akivunjiwa nyumba we itakusaidia kukuza kipato cha familia yako.
Kuna mtu hua unamsaidia hela ya kula humu??
Stop acting like land lord tafadhali kila mtu anajua anatafutaje mahela
Kama haikuhusu unakausha tu
 
Relax kijana. Jifunze kuacha kulalamika wewe. Maisha ni zaidi ya siasa. Grow up
 
Mtayaona mengi tu ya namna hii.... Magufuli ni binadamu tu km mimi na wewe.... amelelewa na mzazi km mzazi wako, amesoma shule ulizosoma wewe, km ulienda UD basi ulikuwa unishana na ye zile coridors za chuoni pale, naye yawezekana alishagomaga km wewe ulivyogoma, alishashika chaki akifundisha kemia na hesabu km waalimu wako waliokufundisha, akainigi chama kile ukipendacho au ukichiacho km wewe, amehonga kidogo wale wananchi wake kule chato kwa kanga, kofia na t shirt km wabunge wengine wa CCM, na mengine mengi tu yanayofanana na hayo.... hata akiwa waziri wa ujenzi kuna barabara zilizojengwa chini ya kiwango leo zina potholes km zingine pia..l

Tofauti ni kuwa leo yeye ni RAIS.... chini yake kuna watendaji amewaweka ambao ni binadamu km wewe pia, wana ndugu, jamaa na marafiki na wengine ni hao wenye nyumba na hoteli hizo unazolalamikia... nao wataenda kuzungumza na baadhi na kusikitika kuwa wanabomoloewa km hao masikini, tofauti ni kuwa wao watasikilizwa na hakuna atakayesikiliza kilio cha masikini, kwanza ni km zinaenda na maji km machozi ya samaki vile....

So kuna mambo utayashangaa mpaka siku unakufa ila ujue haki inatendekaga Mbinguni tu... pale ambapo huwezi honga wala kujitetea tetea... huku chini ya juu no fairness... lijue hilo hutakufa kwa presha bure!!!!
DuH!! Ni kweli lakini.
 
Nikiwa kama mpigania haki za mamilioni ya wanyonge tanzania ninalaani kitendo cha serikali ya magufuri kuwawajibisha wanyonge na maskini kisha kuwaacha ama kuwaonya matajiri na vigogo wa chama na serikali.

Serikali ilitoa siku 7 kwa hoteli ya flomi iliyopo morogoro iliyojengwa kwenye pipe line ya bomba la mafuta TAZAMA ibomolewe lakini leo ni siku ya 30 haijabomolewa,

Nyumba ya mbunge mstaafu wa ccm mchungaji mama rwakatale iliyocholwa X juzi ili ibomolewe leo hii imetolewa sababu kuwa nyumba hiyo haiwezi kubomolewa kwa kuwa ina makosa madogo tu

lakini kuna hotel na nyumba za kifahari kibao ambazo zilipaswa kubomolewa lakini zimeachwa na zingine zitabomolewa fence na gate tu.

lakini sio hivyo tu matajili waliokwepa kodi mabilioni ya kodi bandalini wanapewa muda wakalipe kodi kwa kuombwa bila kuchukuliwa hatua lakini maskini waliokwepa kodi za elfu 70 mpaka laki wanapelekwa kisutu na kufungiwa biashara zao this is the exploitation of government ni serikali gani ya kibaguzi hii?

haiwezekani maskini wanaokula chakula kwa kubahatisha wakabomolewa makazi yao halafu matajili wakapewa muda hakika huyu magufuri sitaondoka hapa duniani bila kumbuluza mahakamani siwezi kuona sheria zinafanya kazi kwa maskini matajiri zinawaacha nchi hii ni yetu sote kwa nini tubaguane?

tunataka kuona nyumba ya rwakatale inabomolewa tunataka kuona mahotel yanabomolewa Je ne peux pas supporter de voir la folie est effectuée par le gouvernement.
By Mdude Chadema (Facebook)
polepole mtakuja kukubaliana na mimi kwamba, Makufuli ubaya wake atajitokeza oale atakapokuja kuwa na upendeleo kati ya viongozi wa ccm na wa vyama vingine, kwa kifupi hiyo ndio sera ya ccm, ukiwa upande wao kwako hakuna makosa
 
Hi sinema nataka niifuatilie hadi mwisho wake...
Ndipo nitapojua kwamba hii serikali kweli iko serious an utendaji wake au mambo bado ni yale yale..
 
[QUOTE="

tunataka kuona nyumba ya rwakatale inabomolewa tunataka kuona mahotel yanabomolewa Je ne peux pas supporter de voir la folie est effectuée par le gouvernement.
By Mdude Chadema (Facebook)[/QUOTE]
Mwenyewe hapo kwenye Pink, tena mwenyewe hasa
 
kwani huko mabondeni watu wa ccm hawapo? mambo mengine ni ya kipuuzi tu, acheni sheria ichukue mkondo wake, ni kweli watu wa mambondeni wanatakiwa kuondoka, na hili agizo si kwamba limeanzia kwa JPM, viongozi walopita walilichukulia kisiasa zaidi, lakini JPM hataki kufanya maamuzi ya kisiasa, na kama pia angeweka siasa kwenye barabara ni wazi kwamba tusingekuwa na barabara za kutosha hapa nchini. kwani maamuzi hayo ndo yametufikisha hapa tulipo, jiji letu linanuka kila pahala, sasa ni wakati wa kufuata sheria japo kuna uchungu mkubwa sana, lakini hakuna namna ya kufanya.
 
Back
Top Bottom