Kagame usije ukawa Nkulunzinza na 2

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Katika salamu zake za mwaka mpya Kagame ametangaza rasmi kugombea tena awamu ya 3 lengo likiwa ni kuiongoza nchi hiyo mpaka 2034.

Huku akijigamba kuwa hataki kuwa rais wa maisha.

hofu yangu hawezi kuitumbukiza Lwanda katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kama jirani zao?
 
ukiona viongozi wa nchi za kiafrika wanang'ang'ania kubaki madarakani kwa bila, jua mikono yao imelowa damu.
 
Kagame ataifanya Rwanda kuwa Uganda nyingine. Rais hatoki madarakani mpaka apinduliwe.
Enzi za kukaa madarakani miaka zaidi ya ishirini ilikuwa kwa viongozi waanzilishi baada ya uhuru.
 
Afrika bado sana upuuzi wa aina hii huwezi kuukuta katika mabara mengine.
Mkuu labda huijui vizuri UARABUNI (nadhani wako bara la Asia). Nchi zinazofanyaga uchaguzi kule nadhani ni Irani cjui na wapi nyingine (though style yao Irani ni kama Tanzania/Zanzibar, rais hua anapangwa hata kabla ya KURA)
 
Back
Top Bottom