Mkuu
Zanzibar ni taifa kama mataifa mengine Kenya, Uganda rwanda. Ilo fahamu.
Pili maana ya Mzanzibari ni mtu ambaye anatoka katika taifa liitwalo zanzibar. Kama vile Scottish or Irish or English, or somalia or Burundi or American, kila mtu hujinasibu kwa taifa lake, jee we ni nani? Mtanzania au mtanganyika?
Mana sijawahi katika maisha yangu kukutana na mzungu anae toka United Kingdom akaniambia yeye ni British unless awe ni English lakini mataifa yote, iwe Wales or Scotland or Northern Ireland watakuambia am Scottish, am Irish. Jee wee nani?
Mkuu
Si unaona sasa hayo ndio matatizo yenu watu kama nyie kudhani kuishi ndani ya mipaka ya kikoloni kunawafanya kuwa wamoja.
Wakati mpaka leo ukienda border ya ufaransa na ujerumani utakuta watu wa pande zote mbili bado wanatema French and Germany efficiently kwa sababu kuna mila tu ambazo wamazithamini za muda mrefu kabla ya mipaka lugha imebidi isambae hili waweze endeleza tamaduni zilizozuiwa na mipaka lakini mwisho wa siki kila mtu anafuata sheria za nchi alipo as a general rule na ana interact with national morals.
Zanzibar ni kisiwa uwezi elewa kama utaki kutuelewa hila ukija bara watu wa Ngara, Kigoma, Mtwara, Lindi, Mbeya, Tabora (ata huyo hassan nassoro moyo anako kukana ajui tu Moyo ni majina ya mpakani Zambia na Tanzania) kwa kwakuwa yeye aliondoka aina maana waliobaki wamepoteza tamaduni zao za mpakani au wazanzibari wote pia wanakana kwao kama watu wa dizaini hizo.
Sasa nini maana ya culture ya taifa kila mtu anajua watu wanaweza kuwa tofauti kutokana na backgound zao, imani zao, tamaduni zilizopo locally etc. Hila kama taifa tunaweka values ata huko uingereza sio wote wana culture sawa lakini serikari ndio inajenga value sawa za kujitambulisha kupitia sheria na morals na sisi watanzania tunazo kama katiba inavyosema binadamu wote ni sawa, tutailinda Tanzania kwa nguvu zote, tutaeshimu dini za wengine, taratibu za wengine na maoni yao kama ayavunji kanuni za kuishi pamoja wala azitishii amani ya wengine hizo ndio value zetu.
Hao unaowaleta waganda, wakenya, rwanda, burundi awana ndio maana awawezi ishi pamoja na serikari zao zina watu kama akina maalim seif ndio tunachokipinga kuwachota watu kama nyie ambao bado personal niche whims zinawasukuma kuliko value zetu kama taifa.
Wewe binafsi ujitambui ndio maana nakuuuliza nini mwongozo wako wa maisha achana na dini hila kama mzanzibari unamuheshimu vipi mzanzibari mwingine kwa value zipi kama amuoni ana kwa ana mtaweza ishi vipi kwa pamoja kwa muda mrefu bila ya serikari ya kitemi.
Ukweli ni kwamba mmechekewa vya kutosha baada ya mwalimu katika jitihada za kujenga utamaduni. Ndio maana unaona inaweza kuwa rahisi kwa ndugu zako kuishi sehemu zingine kirahisi kwa sababu ya kukosa identity ambayo zanzibar inahitaji na binadamu asiye na identity awezi jitambua na mwiishwe ata angukia chochote tabia za wazanzibari wenye fikra kama zako hazina tofauti na wajamaika au majority of other black slaves kulilia msipotakiwa dunian na kujikana kwa kuamini kuna superior cultures zinazowafaa zaidi.
Watu kama nyie ndio mnaokwamisha jitihada za watu kama akina Dr shein; its not hard kuona ata value auna swali jepesi uwezi kujibu unaleta visingizio tu mara katiba, mara ohoo UK, mara uganda wakati its very simple nini maana ya kuwa mzanzibari kwako je uislamu, kuungana na waarabu, and whatever je wote wanona sawa kama wewe hapo ndio tofauti ilipo.
Ukienda bara kama dar ambapo ni metropolitan kuna wengine value za undugu, umoja, kueshimu wengine ndio namna ya kufiikiri wakati wanafanya shughuli zao za maisha ya kila siku katika jiji lililoja watu toafauti, rangi na dini.
Sio wote maana hivi vitu ni jitihada za muda mrefu lakini its enough to call it a norm; je wewe una amini kwa Zanzibar daily interaction approach zikoje kwenye kujichanganya watu wa bara wabara ni wavamizi wasiostahili, wakristo awastahili, mapinduzi sio halali etc na wote wanaamini hivyo? Kama sio maisha yataenda vipi.
Tatizo lenu ni kukosa identitiy ni kama wakiwa mnaolilia vitu ambavyo avipi na huku kuchekewa kwenu kunatuweka sote katika hatari kwanini usiende somalia hili sisi wengine tuendelee na jitihada za kujenga value zetu wazungu imewachukuwa karibu karne tano na vita kadhaa itakuwa sisi wenye uhuru usiozidi miaka stini kwa hivyo jitihada bado zinaitajika hapo kuna vizuizi kama nyinyi angekuwa Nyerere angekuwa keshawachapa loongi isiwe tabu.
Duuh asubuhi njema and sorry for the typos hila u need to be able to identify your self vinginevyo unabaki usiye na asili kama ulivyo sasa ndio maana uwezi kuona tatizo lako lilipo.