Recent content by abutwalib

  1. abutwalib

    Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

    Daah..... Bonge la dili hili Ukipiga kitu cha arusha naomba mpaka nazima Malipo yangu ya siku boss 50,000/= Degree nnayo
  2. abutwalib

    Natafuta kazi ya usimamizi wa maroli ya mizigo au yeyote kuendana na nilichosomea

    Habari zenu wana jukwaa, Naitwa Twalib Jongo, Ni kijana wa miaka 33 Nimesomea fani ya Usimamizi wa biashara 2018 (Degree of Business Adminstration). Nna uzoefu wa kutosha kwenye tasnia ya usimamizi wa malori ya mizigo zaid ya miaka 4 (2019 > 2022) japo fani yangu inasimamia biashara yeyote...
  3. abutwalib

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: Employee Profession : Transportation of cargo (import & export by land) and Trucks supervisor Education : Bachelor of Business Adminstration Experience : 5 years Location: Dar-es-salaam Gender : Male Martial status: Married Tel:- 0766 113 877
  4. abutwalib

    Wanaume: ukijiunga jf, jitahidi kujipa jina zuri kwa manufaa ya baadae

    Kumbe watu humu wana wanawake zao kabisa maana naona watu wanaitaka itana tuu kimahaba...
  5. abutwalib

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    MKATABA WA CHAPUTA UNA SIGN BILA SHURUTI ILA KU RESIGN UNATAKIWA UWE NA MASHAHIDI YAAN INAONESHA HIKI CHAMA KILIVYOKUWA KIGUMU KAMA FREEMASON...
  6. abutwalib

    Ukimfanyia jambo hili mkeo, mpaka siku ya kifo chake hatahisi kuwa unachepuka.

    Unaangalia uwezekano wa mombasa... #jokes[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. abutwalib

    Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

    Kweli ndugu ila je una ujuzi zaidi kuhusu Tv box nzuri sana ni ipi?
  8. abutwalib

    Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

    Hahah..jaman jaman hahah forex sio mchezo wa kuigiza kama hauna roho ngumu usiingie kabisa yaan kabisa
  9. abutwalib

    Fursa kwa developers na hackers

    Haswaaa nambie sasa unapatikan wapi nije ndugu?
  10. abutwalib

    Fursa kwa developers na hackers

    Ebwana nimekupata ndugu tena hasa katika maneno haya. Naweza kukupata wapi ndugu? ili nione process zinavyoenda nkujazie wateja mpaka ukimbie
  11. abutwalib

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Wao brela wanatoa moja kwa moja mtandaoni bila ya kupiga simu?
  12. abutwalib

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Jaman Brela napo vipi simu zishaanza kupigwa au bado kabisaaaa? Maana presha kila mahali sio TPA tu peke ake
Back
Top Bottom