Recent content by abusaleh

  1. A

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Sakata la Hospital ya IMTU Dr. Slaa azungumza

    Utumbo mtupu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Picha zinaogofya:Palestina vs Isiraeli

    huyo ndio mauaji yanayo fanywa na wa Israel
  3. A

    JamiiForums Tanzania Picha zinaogofya:Palestina vs Isiraeli

    sikiliza hitler anasemaje kuhusu waisrael
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyalandu akana ujangili, akiri kuwa mpiga debe urais wa Membe

    Kama wewe ni msafi kama unavyo dai tueleze tuhuma dhidi yako ya ku pewa fungu na wenye vitalu ili utunyime quota ya Kuwinda sisi watanzania huku Arusha maana mpaka sasa tunaamini hakuna Vibali vinatolewa la simanjiro wala Monduli hivi kweli alafu unataka tulinde mali asili zetu wakati wanao...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Urais si Makinda tu, Tibaijuka, Migiro nao wamo kwenye mbio hizo kuelekea 2015

    Wanawake hawafai kabisa kuongoza nchi bora akatafute kazi nyingine
  6. A

    JamiiForums Tanzania Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

    Asie taka kuota ndota basi asilale wewe hutaki kutukanwa basi usitukane
  7. A

    JamiiForums Tanzania Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana uhusiano gani?

    Lipi la ajabu kijana mtafutaji tafuta na wewe au mlitaka apate Mzungu ndio mgefunga midomo kuweni na akili acheni roho mbaya
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Prado

    Samahani ni ya mwaka 2004
  9. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

    Jk ni Rais mwenye huruma hongera sana Rais wetu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Prado

    Wakuu naomba msaada kujua ushuru wa Prado cc 2690 ya mwaka 2014 nimenunua dola 13500 ushuru wake unaweza kua ngapi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    Ni kweli kabisa jina langu linaanzia na s
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ni Haki Kikwete kutumia Ndege ya Serikali kuhudhurua sherehe ya Kuapishwa Ridhwan?

    Hata kama kweli ataenda dodoma sio ajabu ni Rais wa nchi sioni baya Kikwete ametufanyia mengi sana sioni ubaya
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nyalandu amfukuza Songorwa mbele ya wabunge

    Nyalandu kama waziri hakukosea huyo songorwa Alisha simamishwa na nyalandu kutekeleza maamuzi ya tume ya bunge tena songorwa Alisha sema uongo mbele ya bunge kuhusu Yule mama alie uawa Babati kweli Katibu Mkuu wa maliasili Hana haki ya kumrudisha baada ya ku simamishwa kwani ni kimdhalilisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Ndugu zangu naomba ushauri je ungonjwa wa taifod upo? Manake ukienda hospitali Kupima una ambiwa una taifod ukikutana na marafiki wanakuambia uongo hio taifod haipo Tanzania sasa ni lipi la ukweli?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Mkuu labda kwa nchi nyingine sio bongo
Back
Top Bottom