VIDEO: Sakata la Hospital ya IMTU Dr. Slaa azungumza

VIDEO: Sakata la Hospital ya IMTU Dr. Slaa azungumza

Mwehu ndio anae msikiliza na Hako kamkono tutakatupa kwenye bonde la Mto msimbazi

Ni kweli kabisa unachosema sssssssm binadamu hana thamani yoyote zaidi ya kumpeleka jalalani kAMA IMTU
 
Hongera Dr Slaa.. Wewe ndiwe tumaini halisi la Watanzania!
 
Mwehu ndio anae msikiliza na Hako kamkono tutakatupa kwenye bonde la Mto msimbazi
Ingawa Dr Slaa anasema binadamu asitupwe jalalani, nadhani binadamu wengine kama hawa pimbi wa buku 7 wanastahili kutupwa jalalani!

1378528_621377627913562_1439553841_n.jpg
 
Kwako wewe, huoni tatizo lolote katika suala zima la IMTU? Ninachelea hata maana ya regulatory and supervisory bodies na uhusiano wake na governance kwako ni maandishi ya kichina. Nadhani siwezi kukusaidia ingawa natamani kufanya hiyvo, kwa sababu sioni pa kuanzia. Ila ungekuwa huna ufahamu tu lakini ukawa binadamu, ungenyamaza. Kwa sababu hata mnyama pori, hujisikia vibaya kuona maiti ya mnyama mwenzake. Sijui wewe ni kiumbe gani.


Utumbo mtupu
 
Maneno kuntu toka kwa mtu mwenye mamlaka kimaadili. Serikali iangalie adhabu itakayotoa kwa chuo isiathiri wanafunzi. Tusubiri ripoti za tume.
 
Ingawa Dr Slaa anasema binadamu asitupwe jalalani, nadhani binadamu wengine kama hawa pimbi wa buku 7 wanastahili kutupwa jalalani!

1378528_621377627913562_1439553841_n.jpg

Seriously nataka kujua hawa jamaa wanafanya nini. Sitaki kuamini kuwa ni wanafunzi.
 
Wala wa hindi ni tatizo
Ila dr alaa yanamuhusu nini
Anatafuta pakutokeya sera za kusubiri matukio
 
Suala lolote linalohusu uvunjifu wa haki za binadamu huwa halina mtu maalumu wa kuliongele.IMTU wamedhalilisha utu wa binadamu.Ni mtu -------- tu anayeweza kusema kuwa Dr.slaa eti halimuhusu.Suala la utu wa binadamu linamhusu mtu yeyote.
 
Nchi inaendeshwa na utawala wa sheria na siyo mihemko na mabavu.

Kuna tume imeundwa ambayo katika tume hiyo, sheria itafuata mkondo.

Rais Kikwete anatenda kazi zake kwa msingi wa utawala wa sheria ndiyo maana wananchi walimchagua mara mbili ili awaongoze katika kusimamia na kutekeleza majukumu ya kitaifa ambayo ni pamoja na kuhakikisha haki inatendeka kwa kila raia. Kama Dr. Slaa angekuwa ni kiongozi anayefaa zaidi ya Rais Kikwete basi kwa sasa angekuwa ndiye Rais wa JMT. wananchi waliliona hilo, ndiyo maana kwa sasa amebaki tu akipiga kelele za kisiasa kwenye majukwaa baada ya kukataliwa na wananchi wengi kwenye uchaguzi mkuu 2010.

Huyu Mzee Slaa anatafuta sehemu ya kushikia jani la kisiasa baada ya kukumbwa na tsunami ya kisiasa iliyopelekea mpaka chama kukisalimisha kwenye kikundi kinachoitwa UKAWA.

Huyu Mzee Slaa hafahamu kuwa, Katika dunia hii wakati mwingine matukio ndiyo huwa yanapelekea kutungwa kwa sheria mbali mbali. Hata Waingereza baada ya kupata matukio katika eneo la human tissue for anatomical examination, ndiyo mwaka 2004 wakatunga sheria ya kusimamia mwenendo mzima wa viungo vya binadamu katika utafiti ambayo inaitwa Human Tissue Act (2004)

Huyu Mzee hana jipya zaidi ya siasa za kilaghai.
 
Back
Top Bottom