Recent content by ABSHAM

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

    Dini Dini Dini
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Tusubiri uchunguzi gani sasa wakati wewe tiyar umeshafanya na umethibitisha sio watekaji
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

    Umefeli sana kaka mkubwa.. Tuanze na hapo kuwatumia Dada zake screen shot yani hyo ni dhairi inaonyesha ww ni dhaifu ndio maana umetaka approval kwa Dada zake na kuwasibitishia kuwa ww huna makosa bali ni ndugu yao..kama umeona ana ku disrespect kupitiliza Unarudisha tu kwao ataenda kujieleza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania There is no life after death, ni uongo

    Yapo Maisha baada ya mnachokiita kifo.. Kama hakuna Maisha baada ya kufa basi hata haya maisha yangekuwa hakuna..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

    😂😂
  6. A

    JamiiForums Tanzania Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

    Miaka 30..nina watoto wa 5 watoto wa 4 tiyar wanasoma.. Nina wake wawili wote nimewapangia.. 😅😅😅.. Sina Asset zaid ya viwanja tu huko ndani ndani mwisho wa upepo 😅😅.. .
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    Hii ni hoja yenye kueleza kuhusu historia ya eneo ambalo leo linajulikana kama Palestina na Israel kwa mtazamo wa kihistoria, lakini kuna masuala kadhaa yanayohitaji kufafanuliwa zaidi ili kupata uelewa kamili wa historia ya eneo hili, ambalo limekuwa na utawala mbalimbali kwa kipindi kirefu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi yenye ajira kati ya Business Administration na Accountancy?

    😅😅😅Jamaa amekuambia ukweli na hualisia wa Ulimwengu juu ya Elimu... Tumia akili kutafakari utamuelewa ila ukitumia hayo makaratasi yako unayoita Elimu hutomuelewa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

    +971561498516... Nahitaji kutoa msaada kwa kila mwenye hili tatizo.. Matokeo utayaona baada ya wiki moja tu.. Utalipia baada ya kupona kama shukran
  10. A

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nimetotolesha vifaranga 500 vya kuku wa kienyeji

    Nina shida ya eneo la heka 4 maeneo chanika iwe hata ndani kidogo au hata pwani
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    [emoji23][emoji23][emoji23]usijali ndugu apo una andaliwa. Ila hata hvyo ww una nafuu kubwa sana.. Ndugu yangu mm nilipitia hiyo hali huku Nina familia ya wake wawili na watoto wanne.. Hali ya kuwa watoto wawili tiyar wanaenda shule. Nilipitia hyo hali kwa kipindi cha miezi 8 ila mwisho wa siku...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mbuzi

    +255695472265..ukipata taarifa mkuu nicheck tushirikiane kwa hyo mishe.. Hata mimi nilivutiwa na hii biashara
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa nakunywa basi leo ningekuwa chakarii

    Dogo kuwa serious
Back
Top Bottom