grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,655
Ni mtizamo tuHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.