Recent content by abrhms

  1. abrhms

    JamiiForums Tanzania Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

    Madhara yapo ndo maana taadhari muhimu pia...picha bila sura hakuna ushaidi hapo... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. abrhms

    JamiiForums Tanzania Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

    Haka kamchezo ka kutumiana picha nimekagundua juzi tu hapa..so far nakafurahia sana tu..najuta kwanini sikuanzaga mapema.... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. abrhms

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimekua mtu wa kutokujali sana kwenye mahusiano na jamii yangu?

    Mimi pia nimewahi fikiria issue ya ratiba nadhan ndo muda ya kujaribu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. abrhms

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimekua mtu wa kutokujali sana kwenye mahusiano na jamii yangu?

    Mimi pia nimewahi fikiria jambo hili nadhan ndo muda wa kulifanyia kazi.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. abrhms

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimekua mtu wa kutokujali sana kwenye mahusiano na jamii yangu?

    Kumbe tupo wengi...haijapita mwezi nimebreak-up na mpenzi..shida ni mawasiliano..nipo kimya sana..huwa nanunua vifurushi kwa ajili ya internet tu...dakika sina shida nazo. Nakumbuka chuo nilikuwa nawashangaa watu walikuwa wanapiga simu ovyo ili tu vifurushi vyao visiishe. Sent using Jamii...
  6. abrhms

    JamiiForums Tanzania Kwanini nimekua mtu wa kutokujali sana kwenye mahusiano na jamii yangu?

    Usijari mkuu..haupo peke yako. Nami nipo kama wewe...labda cha kuongezea ni kwamba mie sipendi kabisa kutembelewa labda mie niamue kutembelewa/kumtembelea mtu. Pia nipo vzr sana katika uhusiano wa ana kwa ana..lakini tukipeana mgongo ndo kwaheri (out of site, out of mind). Ila mie niliwahi...
  7. abrhms

    JamiiForums Tanzania Keyboard ya Hp inazingua. Msaada afadhari!

    Poa mkuu nimekuelewa..
  8. abrhms

    JamiiForums Tanzania Keyboard ya Hp inazingua. Msaada afadhari!

    Mkuu wireless keyboard inatumika vp hiyo..?
  9. abrhms

    JamiiForums Tanzania Keyboard ya Hp inazingua. Msaada afadhari!

    Du..keyboard nyingine...
  10. abrhms

    JamiiForums Tanzania Keyboard ya Hp inazingua. Msaada afadhari!

    Laptop yangu ya Hp ina tatizo kila kitype baadhi ya button kwenye keyboard kinacho display kwenye screen kingine mfano nikitype F inatokea FV. D inatokea DC. S inatokea SX, A inatokea AZ. Nimejaribu ON-SCREEN keyboard inafanya kazi vizuri bado sijajua hii keyboard tatizo ni software au...
  11. abrhms

    JamiiForums Tanzania Mwenye lolote kuhusu mlima Kilimanjaro, tupia hapa!

    Haha...Kenya tena....
  12. abrhms

    JamiiForums Tanzania Mwenye lolote kuhusu mlima Kilimanjaro, tupia hapa!

    Kheri ya mwaka mpya wanajf. Nimekuwa na ndoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa miaka kadhaa sasa ila kwasababu za hapa na pale (hasa uchumi) nimeshindwa kutimiza ndoto yangu. Nina imani siku moja ndoto yangu itatimia. Basi naomba nipate kuujua tu mlima wetu mrefu kabisa barani Africa. Mwenye...
  13. abrhms

    JamiiForums Tanzania I'm looking for an Illustrator.

    I am looking for an illustrator to team up together to work on children's magazine project. Magazine will be packed with serialized stories, eye-catching illustrations, drawing suggestions, puzzle, and funny cartoons. If you talented at drawing, and have creativity and imagination this might be...
  14. abrhms

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi na animations tafadhali, naomba tuwasiliane

    Ndugu majukumu mengi..ujuzi mwingine sio lazima kuingia darasani as long as nina passions na hicho kitu. Nina imani naweza kujifunza.
  15. abrhms

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi na animations tafadhali, naomba tuwasiliane

    Ndiyo..natamani sana kujifunza kuchora au kubuni animation especially cartons kwa ajili ya magazine hapo mbeleni. Yeyote mwenye ujuzi na haya mambo anipe details na ikiwezekana contacts tujue tutaenenda vipi..
Back
Top Bottom