abrhms
Member
- Nov 13, 2015
- 15
- 18
Kheri ya mwaka mpya wanajf. Nimekuwa na ndoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa miaka kadhaa sasa ila kwasababu za hapa na pale (hasa uchumi) nimeshindwa kutimiza ndoto yangu. Nina imani siku moja ndoto yangu itatimia.
Basi naomba nipate kuujua tu mlima wetu mrefu kabisa barani Africa. Mwenye lolote lile kuhusu mlima Kilinanjaro tafadhari
Basi naomba nipate kuujua tu mlima wetu mrefu kabisa barani Africa. Mwenye lolote lile kuhusu mlima Kilinanjaro tafadhari