Keyboard ya Hp inazingua. Msaada afadhari!

abrhms

Member
Nov 13, 2015
15
18
Laptop yangu ya Hp ina tatizo kila kitype baadhi ya button kwenye keyboard kinacho display kwenye screen kingine mfano nikitype F inatokea FV. D inatokea DC. S inatokea SX, A inatokea AZ. Nimejaribu ON-SCREEN keyboard inafanya kazi vizuri bado sijajua hii keyboard tatizo ni software au hardware..msaada tafadhari.
 
Ipeleke kwa fundi akubadilishie keyboard. Au kama vipi tumia external keyboard ya USB. Am sure ukiwa na buku 15 utapata external keyboard (kama hizi za desktop) kwa bei nafuu...
 
Mkuu wireless keyboard inatumika vp hiyo..?
Kuna zile zinatumika kwa bluetooth au zingine zina chip ndogo ya USB unaiconnect kwenye Computer hiyo chip halafu wewe unatumia hiyo keyboard pembeni(isiyo na waya) ningekuwa na picha ningekuonesha mkuu
 
Poa mkuu nimekuelewa..
 
Back
Top Bottom