Nimemsikiliza Afisa mmoja wa police jana ana mwili mkubwa na kichwa kikubwa ila akili nadhani ndogo sana.
Hivi hawaoni police wenzao wanavyozuia maandamnano.Police wanasukumana na waandamaji wakiwa na full protection. Sasa hawa wetu hawafanyi mazoezi wana vitambi mpaka uniform zao haziwatoshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.