Dk. Kilahama aibiwa, aomba msaada JF

Dk. Kilahama aibiwa, aomba msaada JF

Nafikiri apeleke kilio chake Polisi na misitu anaweza pata msaada zaidi siyo kuja kulia jamvini
 
Acha Kujifanya unaijua sana nchi hii.mkurugenzi wa mali asili na utalii upande basi? sifanyi hata siku moja


Kijana inaonekana umekulia KLP familia yaani kula lala pumzika, na humfahamu Dr Kilahama, wewe unataka atembelee chopa na shangingi, mzee huyu ni mwadirifu alimzuia Zakia Megji kuuza misitu be ya nyanya akiwa rais wa TAF yaani Tanzania Forest Association, na mengi tu amefanya. si mtu wa kujikweza kutanua saana km utakavyo wewe.

si yeye tu kuna profesa mwningine aliwahi kuwa mkurugenzi wa misitu na nyuko kabla yake Prof IDI nae hapendi starehe km wewe. hivi kijana tukikupa nchi si utatuibia vibaya.
 
Naendelea Kushangaa na ninaomba mnisaidie kushangaa nyie wenzangu,
mtu mwenye hadhi ya ukurugenzi kisha doctor anapanda gari la abiria ya tsh 35,000?
tatizo nini hajapewa gari? hajapewa dereva?
Huyu mzee hana makuu kabisa. Ameshastafu toka tayari. Sasa hv nadhani kuna ngo inayohusika na misitu ndio yupo. Pole sana doctor.
 
Back
Top Bottom