Recent content by Abraham G

  1. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli anapotoshwa au vinginevyo?Kisa cha Hon. Justice Dr. Eliezer Mbuki Feleshi

    Uliona mbali mkuu, leo hii ndiye kiongozi wa mahakama kuu (Jaji Kiongozi), na kwa umri wake bila shaka ndiye Jaji Mkuu ajaye, kweli Jiwe alikurupuka.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ndugai awapiga mkwara wabunge waliofungiwa, wakiendelea kukashifu bunge wataongezewa adhabu

    Hahaha..tatizo lenu huwa mnamchukulia Rais kama mkuu wa serikali tu na mnasahau kuwa kwa mujibu wa katiba pia ndiye mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, ukiyaelewa mamlaka ya Rais kama mkuu wa nchi basi usingeandika hiki kitu hapa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini suala la makinikia linawauma CHADEMA kuliko ACACIA wenyewe?

    So what? hutaki kifanyike?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakili Tundu Lissu, tulikofika si pa kuzodoana. Tuko katika kushikamana!

    Ni upuuzi kulifanya hili swala ni la CCM au vinginevyo, CCM inasaini mikataba tangu lini? CCM inatunga sheria za nchi? ni kifungu kipi ndani ya katiba inayoainisha kwamba CCM ndicho chombo cha kutunga sheria? kipi bora kama watu wale wa CCM walifanya ya hovyo na sasa wanajisahihisha na watu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi huyu msajili amepona??

    Hiyo barua ni ya mwezi jana tu baada ya kuona kisheria tutawabana endapo wakitaka kulipeleka swala hili mahakamani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Lissu: Mkataba wa MIGA unasemaje kama kampuni inafanya kazi bila kusajiliwa?

    Ni wapi kumuonesha kwamba hiyo certificate ni ya Acacia? akili zenu sijui huwa mnazipeleka wapi, hiyo barua ni ya mwezi jana tu ikiwajibu Acacia barua yao ya ombi la kuchange jina, yaani Acacia wameomba kuchange jina mwezi jana baada ya kuona kisheria tutawabana endapo wakitaka kulipeleka swala...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Hakuna cha ugt hapo, ni juzi tu walimshangilia bungeni na kudai kwamba wamemmis, iweje leo wanamnanga tena? waendelee tu kummis tuzijue rangi zao sahihi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Huwa mnachekesha sana wakati mwingine, Rais keshaagiza wahojiwe, huwezi kuhojiwa kwa tuhuma za kijinai bila kukamatwa, na ili ushahidi usiharibiwe ni lazima uwekwe mahala salama, sio lazima Rais aseme wakamatwe ndo uelewa watakamatwa.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyabiashara wa madini Tanzania waipinga ripoti ya mchanga, wadai Taasisi huru

    Kilaza kama wewe ndo kutwa kucha mnamtukana Bashite, ni wazalendo kwenye mataifa yao wanakopeleka kuwekeza faida waipatayo, kumbuka hata ACASSIA wenyewe ni wanachama so ulitegemea wasimtetee mwanachama wao?
  10. A

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Msanii aliyeshika kichwa cha Rais Trump Kufunguliwa mashtaka

    Upuuzi huo, yule alomchora Rais kama samaki kafanywa nini? unaona hilo ni sawa?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

    Mnapinga jambo gani? upumbavu uliokithili umewajaa, tume haijamaliza kazi yake na wala haijawasilisha chochote kwa Rais ajabu kila uchao mijitu inabwabwaja utumbo tu humu, hivi nikikuuliza Magufuli kufanya nini au kachukua uamuzi gani kuhusu hili saga usouunga mkono utanijibu nini?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hehehe..niko Mwanza natafuta soko la lita 40 za maziwa embu naomba unisaidie maana sasa naelekea kujuta.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli "Nchale!" - Usiteme, Usimeze wala Usimumunye!

    Mwehu wewe mshasahau kama PM Sumaye ni kiongozi wa CHADEMA, mgombea urais wa CHADEMA pia anaoneka kwenye picha hotelini siku mkataba wa Buzwagi ukisainiwa..wao kwenu ni safi sana enh? sijui mtazificha wapi sura zenu siku si nyingi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Tapata dakika 10 sasa zimepita, watu wameshuhudiwa wakitoka nje ya majengo na kukimbia huku na kule wakihofia dhahama. Sijaona Madhara yoyote yaliyosababishwa na tetemeko hilo kwa hapa nilipo sijui labda wenye taarifa tofauti watujuze.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli is confused big time! Sikiliza

    Hahaha, uzi unamoto huu mwenyewe nimeshtukia hilo.
Back
Top Bottom