Ni kwa sababu hatia inakufanya uendelee, hapo dawa si kujiwekea malengo, bali toba kwa MUNGU kwanza kwa sababu hiyo itakufanya ujisikie kiumbe kipya na upate nguvu ya kurudia ujinga, ila usipojisikia umekuwa mpya, hata upange nn, wewe bado ni yuleyule tu, hakika hakutakuwa na kizuizi wewe...