Recent content by abias laurian

  1. abias laurian

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Wewe huna dhambi yoyote, mtoto mtafahamiana mbele kwa mbele, fanya mambo mengine kaka, maisha ni zaidi ya haya uliyoandika. Umewekwa kwenye kamati na haujui kamati ina lengo gani, wewe cha kufanya endelea kuishi kama hakijatokea kitu, mtoto siku zote atamtafuta baba yake, hata afichwe vipi...
  2. abias laurian

    Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Chukua pesa yako kaka, fanya mambo mengine, usifatilie sana kujua kilicho nyuma ya pazia, utaendelea kuumia.
  3. abias laurian

    Matajiri mara nyingi tunaamini masikini Ni wavivu lakini sio kweli

    Yote kwa yote masikini wenzangu tuache uvivu tupambane, kama tunapambana na hatupati basi tuongeze juhudi na maarifa na kuendelea kupambana zaidi. Uvivu upo, na mara nyingi hatuna focus tunawajibika sana hasa kwa kujaribu kila kitu hatuwezi kukomaa na jambo moja, malengo yetu huwa hayazidi...
  4. abias laurian

    PreGE2025 Kwa udhaifu wa rais Samia 2025 ndio itakuwa fursa mujarabu kwa wapinzani kuchukua nchi kwa mara ya kwanza

    Vyama vingi kwa nchi nyingi za Afrika ni kama tumekurupuka tu, mapokeo yake ni tofauti na inavyopaswa kuwa, kwetu imekuwa ni sehemu ya kujipatia pesa za ruzuku lakini sio kwaajili ya kuleta changamoto kwenye chaguzi zetu, ndio maana huwa ni ngumu kukiondoa chama tawala kilichojiwekea mizizi...
  5. abias laurian

    DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Azam wanajitahidi kuonesha matangazo ya mpira lakini wanazingua kwenye baadhi ya mambo, wanapeleka kamera chache viwanjani, kama mtu unafuatilia matangazo ya mpira Mapinduzi Cup utakuwa umeshapata kero hii, kuna upande mpira ukiwa unachezwa unaona vivuli tu, hakuna raha ya kuangalia unatamani...
  6. abias laurian

    Technical Assistance: My computer has duplicate files

    My computer has a lot of duplicate files that it is hard to physically delete them, is there any free software to automatically delete the repeated files and remain with one?
  7. abias laurian

    Msaada: Software yenye uwezo wa kufuta ma-file yaliyojirudia

    Je, kuna software yoyote nzuri ambayo inaweza kudelete mafile yaliyojirudia kwenye computer? Kama ipo naomba msaada wenu!
  8. abias laurian

    Msaada: Anahitajika mtaalamu wa kutengeneza flash uliyoharibika

    nina flash ya GB 64, yenyewe nikijaribu kuformat inaonesha ina MB 8, hata kwenye disk management pia inaonesha ina MB 8, je kuna njia yoyote ya kutatua hii?
  9. abias laurian

    NIDA wanaruhusu fomu ya utambulisho kuuzwa?

    Huwezi amini huku nilipo ili kufika kwa mtendaji uwekewe saini, lazima upande pikipiki kwa shilingi elfu 2. Though fomu unaipata stationery kwa mia mbili, huku mwenyekiti au mtendaji hajawahi kuwa na fomu na cha kushangaza hana ubia na stationery Sent using Jamii Forums mobile app
  10. abias laurian

    NIDA wanaruhusu fomu ya utambulisho kuuzwa?

    Jibu liko sahihi nimeelewa vyema, labda tumepishana mitazamo tu.
  11. abias laurian

    NIDA wanaruhusu fomu ya utambulisho kuuzwa?

    Fomu za NIDA hazilipiwi ila mostly kwenye maeneo mengi hupatikana ofisi za NIDA hivyo kutokana na usumbufu wa kwenda NIDA kwa nauli na kurudi kwaajili ya fomu hizo kujazwa, wamiliki wa stationery wamechukulia hiyo kama fursa ya kujiingizia kipato. Form ya NIDA inapakulika vizuri tu kwenye...
  12. abias laurian

    Naombeni ushauri ni laptop gani aina ya HP ni nzuri kwa matumizi ya chuo?

    Fundi huwa hatumii kitu kizuri hata mara moja Sent using Jamii Forums mobile app
  13. abias laurian

    English learning thread

    What are the differences between stem and base? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom