Recent content by Abel Mtambuki

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Nakumbuka Sikh ya mazingira form one Pugu sekondari na Foadi akiwa form two alitutesa sana alitupamdisha kilima cha pond, simsahau. Mmh ukaguzi wa mabweni na mwl Mosha acha Bwana. Halafu kwenye mabanda ya MIFUGO na Majura, amestaafu yupo Mahuta
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

    Politics is strategic game play it!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe ni mfano wa kuigwa kufanya mabadiriko bila vurugu,wale walionyang'anywa mashamba washangaa.

    Yes, we should appreciate a peaceful transition in Zimbabwe, my hope that Zimbabwe will rise again and see maize, tobacco and bean production increases as I saw it in early 1990s. Big up Zimbabwean, no blood shed no violence. It never happen in Africa. The big lesson to leader for all leaders...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alaumu Tanzania kutopiga kura kulaani vitendo vya unyama dhidi ya Rohingya huko Myanmar

    Tumeshatamka lolote jui ya somalia?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Bila tija mshahara usiongezwe serikalini

    Si lazima kwenda Mi...be Dodoma
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nape: Nitashughulikia mapungufu nikiwa ndani ya chama sio nje

    RC vs Martin
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha

    Sasa nimetambua kuwa watanzania baadhi yao hawajui sheria na taratibu zinazoendesha biashara. Wizara wapo sahihi kuchoma, tatizo ni nini. Kuna bidhaa ngapi fake zinateketekezwa tena za fedha nyingi, ifikie mahali tufikiri kwanza kabla ya kulaumu tu. Vifaranga hivyo ni vichache sana ukilinganisha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

    Jifunze nini maana ya kuwa mkristo! Kuwa mkristo si kuzaliwa na wazazi au nyumba ya kikristo. Ni kuwa mwanafunzi wa Yesu kwa kumkiri kuwa Bwana na mwokozi wa maisha na kuyashika maungamo yote, na utabatizwa na Roho Mtakatifu, atakusaidia uendenende kwa Roho na kamwe tamaa za mwili hazitakuwepo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Miaka ya 80

    Naumbuka sana alipokuwa Sokoine nilikuwa form four Pugu, tulilia sana. Nakumbuka ulikuwa taarifa ya habari ya SAA kumi jioni
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

    The first thing to ask what is the church, if we can understand then we can answer the question. Not all congregation mentioning God and Jesus is the church!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka East African Airways?

    Tumebaki pia na AICC Arusha
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa karata wa last card unachezaje kwa kingereza?

    Nimecheka hicho kingereza
  13. A

    JamiiForums Tanzania WanaJF mnakumbuka hii hadithi? Sadiki na Chitemo

    Tukumbushie Manenge na Mandawa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Pete hailazimishwi, hujachumbiwa wee ushapost FB live na vijembe juu, mwanaume huyoo katokomea

    Fasihi, kila na tafsiri take. Kwangu ni msichana maarufu kachumbiwa, lakini wazazi wa mwanaume bado hawajiridhia na kijana hataki kuwaudhi, binti katangaza ndoa, marafiki zake wanapa support mchumba hataki kuweka wazi juu msimamo wa wazazi wake.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwako Rais na Mwenyekiti CCM Taifa

    Sheria inaseamaje? Ni hatari kuchanganya mambo haya, Mimi si lazima niwe mjumbe wa mkutano wa chama ndio nionekane napenda sana chama, mtaani kwangu niweza nikakisaidia chama bila tatizo kama ushauri, ujenzi wa chama etc. Walio nje ya utumishi hawaoni adhari, Rais acha kuwasikiliza hayo!
Back
Top Bottom