Recent content by ABEDNEGO

  1. ABEDNEGO

    Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

    Kweli mmewataja wengi sana products za Ndeki hata kaka zetu waliotutangulia wameonyesha kuwa pamoja nasi. Haya shime tumkumbuke Major General Hashim Mbina ex -TS aliyetutoka siku si nyingi.Amekuwa mstari wa mbele kutuunganisha na kujaribu kutuleta pamoja wana TS kokote...
  2. ABEDNEGO

    Unafiki wa watumishi wa TRA na ulimbikizaji mali

    Ndugu yangu Batchu, hiyo ni dalili ya kukata tamaa kunakotukabili watanzania wengi....Urefu wa kamba unaouongelea hujui madhara yake huko waliko watanzania i.e Vijijini, Maisha ya wananchi yako rehani vibaya sana.Hata huyo mtumishi wa umma aliyeko kwenye taasisi...
  3. ABEDNEGO

    Unafiki wa watumishi wa TRA na ulimbikizaji mali

    Leo Jumamosi asubuhi nimesikiliza Clouds Radio kipindi chao cha Breakfast , walikuwa na watumishi wawili wa elimu ya umma kutoka Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakizungumzia maswala mbali mbali yanayohusu Mamlaka, kuhusu ulipaji na ukusanyaji kodi.Kukawa na nafasi ya...
  4. ABEDNEGO

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    RIP John Damian Komba.Nitakukumbuka sana wakati wa msiba wa Mwl.JK Nyerere.................ulitufariji waTZ kwani uliandaliwa hata kabla ya kifo cha Mwl.Kutangazwa............:A S-alert1:
  5. ABEDNEGO

    Magufuli: Pesa za ujenzi wa barabara Kariakoo STRABAG ziko wapi?

    Siyo habari ya barabara hiyo ya Msimbazi tu,Bali Mradi mzima wa mabasi yaendayo Kasi (DART) kusuasua.Siyo habari za tetesi bali ni habari za kweli kuhusu usimamizi ,uendeshaji na kukamilika kwa Mradi huu wa Mamillioni ya mkopo wa fedha toka Benki ya Dunia...
  6. ABEDNEGO

    Biashara: Kuchimba & kujengea makaburi Dar

    Ama kweli.....Ukifa wewe je nani ataendesha hiyo biashara?Nani atakujengea pia?
  7. ABEDNEGO

    CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

    Bujibuji ufunguke wewe na ile namba ya TiGo ya mnigeria watakupa majibu.
  8. ABEDNEGO

    Katika Dunia ya Sasa Inayoitwa ya Utandawazi, Hebu Tujiulize kwamba ...

    :A S angry:Majibu yote ni sahihi jipe tiki mwernyewe
  9. ABEDNEGO

    CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

    MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na /Reading Lillian 07846700927, Birmingham-07776358464 Jackson Kapama, London 07817479845 Elias Mwema, Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno,-Brighton,07950324330 Joyce Jacob. Southampton 07717435287 Sekela Komba Tafadhali tunawaomba kushiriki baraka hizi kwa...
  10. ABEDNEGO

    CHRISTOPHER MWAKASEGE Washington DC

    Buji Buji huyo jamaa anakuja kufanya biashara USA, NENO LA MUNGU NI COVER tuu,Wakati fulani alikuja Stockhom Sweden akakusanya wabongo kibao kwa cover hiyo hiyo.Mwishowe akachukua contact mbali mbali na kumkaribisha mtu mmoja mmoja kujadili namna gani angeweza kumtumia...
  11. ABEDNEGO

    NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

    Wengi wanakupamba kwa kuwa una lugha ya kiubabaishaji, lakini ukweli wewe ni mdaku na gharama yake ni hiyo.Jitahidi kwenda kuungama matendo na maneno yako machafu umrudie Mungu wako vinginevyo ulimwengu wa kazi umekwisha kushinda.Nakutakia sala njema na wito wa...
  12. ABEDNEGO

    Ujangili wa kutisha

    Hapo badooAfrika ya Mashariki haijaja,Mtakoma ubishi-Vichwa vya watu vitapelekwa Burundi,Meno ya faru Kenya,Ngozi ya binadamu Uganda,Sasa sijui nyara za albino zitapelekwa wapi.Duuu kina Kova wa enzi hizo zijui watakuwa wa Kanda maalum ya wapi.......:pop2:Jana...
  13. ABEDNEGO

    NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

    LARA 1 Nadhani umeenda kujipongeza baby wewe.....Hongera ...... manake mikwashukwashu yako duhh imenitoa hoi. Yaani nisikudanganye kama ww unajua kupiga jungu .....jiendee tuu maana kazi ishakushinda.Naamini unapoteza muda na kutulaghai na sisi wenye nishani za...
  14. ABEDNEGO

    Mwalimu Joseph KABALIMU is no More

    Kabalimu pale Boys hakuwepo kwa jina la Mwombeki na wala miaka ya 2000 tayari alikuwa Mlimani yeye alikuwa Mwalimu wa Lugha tena nadhani Kiswahili na sanaa ,Tukiita UFARAGUZI, Yeye aliingia Tabora School akitokea Butimba miaka ya 1983 nadhani alikaa hadi 1992...
Back
Top Bottom