Kama Soka ndio Caf wawe wanasema mapema Timu gani wanazitaka zicheze fainali Yanga wameonewa lile ni goli VAR kunufaisha Timu maana
Shubamiti.......[emoji35]
Ikiwa hali itaendelea kuwa hii basi siasa 2020 itazikwa haiwezekani wao wacheze sisi tupige makofi.
Haiwezekani wao waseme sisi tusikilize.
Haiwezekani wao waende sisi marufuku.
Kwa mbaaaali naiona Tanzania mpya[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Nitaandika historia ya marehem Chipaka japo kwa ufupi na kwa yale niyowahi kuyasikia kutoka kwenye kinywa chake.
Mzee chipaka alipingana na mwalimu nyerere kitazamo hasa hakukubaliana na jinsi ambavyo mwalimu alivyo kuwa anaongoza nchi.
Mzee chipaka alimtaka mwalimu ajiuzuru jambo ambalo mkuu...
TANGULIA MH CHIPAKA RAIS WA TADEA HISTORIA IMEKUANDIKA (R.I.P)KAMANDA.
Nakumbuka pale ulipo niambia nyinyi vijana wa sasa acheni uoga nchi haikombolewi kwa kelele bali kwa vitendo hapa ngoja nimnukuu......
Mimi chipaka niliishi gerezani miaka 12 huku kila siku iendayo kwa mungu nikiwa...
Kuwa ita polisi wasambazaji ni sawa hongera sana mkuu wa mkoa.
Je nilini tutawaona wakiitwa polisi waleta unga?
Maana haiwekani wakawepo watumiaji na wasambazaji wakakosekana waletaji ,mkuu wa mkoa fanya hima uwabainishe na ma papa hongera tumeona dagaa .......
Dp haina tatizo na muungano wa vyama au chama chochote chenye malengo ya kuiondoa serikali ya ccm madarakani na ndio maana Dp ni sehemu ya waasisi wa Ukawa wakati wa bunge la katiba isipokua tu Dp ilitengwa na umoja huo bila taarifa yoyote ,kwa kua waliitana wao kwa wao bila kuishirikisha Dp na...
Ningekua na uwezo mwenge ninge uchimbia shimo refu ambalo halijawahi kutokea ili kizazi kijacho baada yetu kisipate japo kuuona achilimbali kuusikia siupendi na haufai hata kidogo kuwepo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.