Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

Kwa ninavyohis jamaa kwa kutaka kuwaumbua wanaomsema angeshatuonyesha cheti chake siku nyingi
 
Jamani watanzania ni vizuri tukawa tunatoa taarifa zenye uchunguzi wa kutosha, pia ata kama ni mhandishi wa habari ni vizuri kufuata maadili ya kazi, ni vizuri kuuliza maswali yanayoendana na mada ya muda huo. Na nyie munao hoji vyeti vya wengine toeni vya kwenu kwanza, na pia
 
Makonda ameathiriwa na kipaza sauti cha marehemu pia vipaza sauti vya waliomwendelezea kamchezo baada ya marehemu mpaka leo.
 
Jamani watanzania ni vizuri tukawa tunatoa taarifa zenye uchunguzi wa kutosha, pia ata kama ni mhandishi wa habari ni vizuri kufuata maadili ya kazi, ni vizuri kuuliza maswali yanayoendana na mada ya muda huo. Na nyie munao hoji vyeti vya wengine toeni vya kwenu kwanza, na pia
Yy wakati anachafua watu alifuata maadili ya kazi?
 
Waliosoma na huyu RC mbona hawajitokezi hasa humu mitandaoni. Yamkini madai ya vyeti fake yana ukweli ila najiuliza waliosoma nae wako wapi wasaidie kutupa ukweli wa hili. Mwanafunzi aliyepata zero sio rahisi kumsahau. Wadau wengine na wanaofanya kazi baraza la mitihani ñ, ,66ñtunawategemea tunawategemea wathibitishe matokea halisi
Ablessed hata mimi niliomba waliosoma nae wajitokeze, hakuna hata mmoja aliyejitokeza na kutaja tuu japo shule. Mtu hata angepata div zero jina lingeonekana.

Nimeuliza hapa Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya kukosa majibu nikawaomba waliosoma naye sekondari wajitokeze lakini hakuna aliyejitokeza.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

Kimya hiki ni uthibitisho tosha sio kuwa alipata zero, bali I doubt if he really attended at all, ila nakiri ni jiniasi!.

Paskali
 
Sasa zile busara za viongozi ziko wap? swali dogo tu la elimu ya form four unaporomosha matusi?
Hakuna viongozi wenye sifa stahiki za uongozi katika serikali hii na kama wapi basi ni mmoja kati ya kumi ndugu yangu nadhan hujaligundua hilo bado walio wengi si viongozi sahihi bali ni malimbukeni wa uongozi na wale wenye viherehere kwa bosi wao
 
Ablessed hata mimi niliomba waliosoma nae wajitokeze, hakuna hata mmoja aliyejitokeza na kutaja tuu japo shule. Mtu hata angepata div zero jina lingeonekana.

Nimeuliza hapa Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya kukosa majibu nikawaomba waliosoma naye sekondari wajitokeze lakini hakuna aliyejitokeza.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia...

Kimya hiki ni uthibitisho tosha sio kuwa alipata zero, bali I doubt if he really attended at all, ila nakiri ni jiniasi!.

Paskali

Pascal umeamua kuingia kwenye huu mtego wa kumsafisha ha Daudi? Ina maana kila anayetaka kujua elimu Na uwezo wa Daudi Ni muuza unga?
 
Back
Top Bottom