Abdul Mluya
Member
- May 28, 2013
- 47
- 25
Pamoja na kuondokewa na mwenyekiti wetu kwa ajaLi yenye utata, sisi tulio baki tutaendeleza harakati za Rev Mtikila pamoja na itikadi yake ya uwepo wa taifa la Tanganyika.
Tunaamini ndio njia sahihi ya kumuenzi mwenyekiti wetu na walio amini kuwa chama kimekufa wamekosea DP ipo na ita endelea kuwepo na misimamo yake.
Daima hatuta rudi nyuma kamwe Saa ya ukombozi ni sasa.