Recent content by abdallah mbwana

  1. abdallah mbwana

    Mtatiro: Lipumba alisaliti chama tangu zamani, alimsaidia Kikwete uchaguzi wa 2010

    kama ni kweli basi hata wao ni wasaliti waliwezaje kuvumilia usaliti miaka yote hiyo!
  2. abdallah mbwana

    Rais Magufuli afunga Maadhimisho ya Miaka 52 ya JWTZ ashuhudia Zoezi Amphibious Landing

    mkuu unapenda kubishana, majeshi dunia nzima yanafanya mazoezi, kuna mengine yanaenda nchi jirani au nchi rafiki kufanya mazoezi ya pamoja. jivunie chako japo kidogo usiwe mtumwa
  3. abdallah mbwana

    Miss Brazil to feature 6 black participants - first time ever

    wa afrika tupo very inferior na asili yetu nahis hili linawapa nguvu weupe kutudharau na kutudhihaki. sometimes nahisi sisi ndo tunakua more recist than whites, tunapenda kujitofautisha nao wakikaa pembeni wakijitofautisha na sisi tunawaita wabaguzi
  4. abdallah mbwana

    Movie na series nzuri inayohusu utafutaji wa mali (utajiri)

    mkuu kwa upande wangu naskiliza sana country and rock music ku maintain hustle zangu coz i have a plan to live in a country house with my family nikitimiza 50 years old, currently my company is 1 year old najaribu kuweka structure ifanye kazi kwa ufasaha hata nisipokuwepo ili niweze kutimiza...
  5. abdallah mbwana

    Movie na series nzuri inayohusu utafutaji wa mali (utajiri)

    Good fellas The Persuit of happiness
  6. abdallah mbwana

    Movie na series nzuri inayohusu utafutaji wa mali (utajiri)

    The wolf of wallstreet American Gangster The social network Branded The Natorious BIG Straight Outta Campton The Godfarther The last Don Road to perdition
  7. abdallah mbwana

    Lissu ailaza chali Jamhuri katika kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli

    kama Kim Jon Un wa North Korea alivyowakataza watu wake kunyoa mtindo wake wa nywele subirini mtangaziwe ni marufuku kutumia maneno JPM mahala popote na wala msiwaite watoto wenu Magufuli
  8. abdallah mbwana

    ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

    Lugumi ametushinda tutamuweza singasinga!
  9. abdallah mbwana

    Kashfa ya LUGUMI: Saa zahesabika. Spika asisitiza lazima kieleweke

    kuahirishwa hili swala na Tulia na kurejeshwa tena na spika sio bahati mbaya, ni plan kupata muda kuweka mambo sawa... litapita kama yalivyopita mengine tusitegemee chichote
  10. abdallah mbwana

    Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

    mm ni shabiki wa tupac, ila nikisikiliza mashairi yake najiuliza how a young boy died at 25 could write such lyrics. he was genius
  11. abdallah mbwana

    Tume ya Mufti: Wafichueni waliopora mali za Waislamu

    sheikh ponda kalizungumza sana hili akatengezewa zengwe. kwa ushauri kwenye kamati angejumuishwa kwani alinadi kuwa na ushahidi wa haya
  12. abdallah mbwana

    Furaha ya mtoto inapotea kwasababu ya "Mvuje"

    kama muislamu ni haramu kwani ni aina ya ushirikina, kitambaa hakina uwezo wa kukuzuia na lolote, je mtoto alivyokua tumboni nani alikua anamlinda? muamini mungu peleka mtoto hospitali apate chanjo husika
  13. abdallah mbwana

    Reli ya kiwango cha kimataifa.p

    hizo phase za ufanikishaji miradi ndo Tanzania na Africa hatuziwezi tunataka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja bila strategies na wala hakuna wa kuuliza thats why we end up achieving nothing
  14. abdallah mbwana

    Kenya: Rais Magufuli anatukomoa kisiasa

    wakenya na raisi wao ni mabepari haswa wanauchu wa uchumi they are ready to do anything
  15. abdallah mbwana

    Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?

    umenifikirisha kidogo!
Back
Top Bottom