Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,162
- 3,162
Mtatiro akizungumza katika Clouds FM, anasema Lipumba ameanza usaliti wa chama tangu zamani. Anasema wanazo clip za mwaka 2010 ambapo Lipumba alisema alipoona jahazi linazama "yaani Kikwete akielekea kushindwa na Slaa" ilibidi aingilie kati ili kuokoa jahazi.
Lipumba aliamua kuisaidia CCM wakati na yeye akiwa mgombea Urais kupitia CUF.
Lipumba aliamua kuisaidia CCM wakati na yeye akiwa mgombea Urais kupitia CUF.