Kenya: Rais Magufuli anatukomoa kisiasa

Kenya: Rais Magufuli anatukomoa kisiasa

Kama una viongozi waliochaguliwa kwasababu ya kushindwa uchaguzi na wanamiliki kadi ya CCM unategemea nini?

Tatizo tunachagua viongozi wasio smart na ndo wanatusababisha tuwe kama tupo leo.

Mkuu nafikiri hapa tunazungumzia wanafiki siyo ambao wako SMART upstairs.
 
No English, No service!


Una bidii kweli ya kufanya chatacter assassination kwa maana tangu umeanza sijui umefanikiwa kwa kiasi gani kuathiri approval rating wa Raisi Magufuli baada ya character assassination yote hii! Uwe unatupa na feedback ya matokeo ya kazi yako!
 
Mkuu nafikiri hapa tunazungumzia wanafiki siyo ambao wako SMART upstairs.

Vyote sawa muheshimiwa. Ni wanafiki which is correct na pia ni vil.aza which is correct pia.

Huwezi kusema bandari haina mizigo kwasababu ya kudorora kwa uchumi wa dunia, huku unaenda kwa wafanyabiashara kuwapigia magoti wapitishe mizigo kwako. Huo ni ukilaza.
 
Kumbe wakenya hawamtambui mzee wa Piko kuwa aliwakilisha nchi maana hakuwa na mchango wala msimamo kama nchi! Alienda kuitikia uwep tu sio kuchangia! Ila kwa uelewa wa PM na JPM hawajui hayo mambo na kuyajadili hapo hapo na kueleza msimamo wa nchi lazima wamuombe Mzee Mahiga awepo na lazima awepo asaidie hapo! Namuona siku hizi Mahiga anapiga picha na ma Rais mara zote! Kawaida huwa ma Rais wanapiga wao tu! Ila sasa namuona ana hadhi sawa.....!!
Ah ah ah ah ah ah imebidi nicheke Tu baada ya kugundua hiyo mzee wa piko dah watu mna mambo
 
Trust me, namchukia sana Uhuru Kenyatta... namchukia Kenyatta si kwa sababu ni mtu anayestahili kuchukiwa bali namchukia kv mimi ni Mtanzania ninayeipenda nchi yangu and I'll always be there for my country. Namchukia Kenyatta kwa sababu mimi si Mkenya na Kenyatta is very smart for Kenyan interests.

Labda usahihi nilipaswa kuwa na wivu lakini kwa ujeuri na hinda inabidi tu nimchukie kv Kenyatta ndie Rais ambae Africa ya leo ndie inamuhitaji. Kenyatta ni mroho tena mroho kweli kweli! Lakini tofauti na uroho wa wenzake kama vile Museven na Kagame ambao ni waroho wa madaraka; uroho wa Kenyatta ni wa kiuchumi...

uroho wa kutaka kuifanya Kenya kuwa economic giant now and always! Hapa ndipo ninapomchukia Kenyatta cuz' he can do whatever he can to stand atop of others. The guy is smart, trust me... lile ni bebari la kuzaliwa na kurithi kwahiyo linafahamu hila zote zinazohitajika kwenye dunia ya leo!!!

Haya mambo kwamba "hao watalii wakitaka waje, wasipotaka wasije...!" kamwe hayawezi kutoka mdomoni mwa bepari zohefu na lililokubuhu kama Kenyatta... sana sana si ajabu anakesha akiomba tuzidi kukaza ili "tukasanye kodi nyingi zaidi..!"

Kenyatta sikupata kumuogopa wakati wa JK kv nilifahamu JK anafahamu namna ya ku-deal na watu aina ya Kenyatta... ndo maana wakati ule anaruka ruka na akina PK na Ushoroba wa Kaskazini wao JK alikuwa anawacheka tu; kombora moja tu... wakaanza kutafutana wenyewe!!!

Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, popote ulipo fahamu kwamba nakuchukia... lakini nakuchukia kwa sababu tu nafsi yangu imejawa husuda!! Huwa nazidi kukuchukia kila inaponipitia taswira ya Silicon Valley au kitu kinachofanana na Silicon Valley ndani ya Nairobi endapo utapewa fursa ya kuendelea kuongoza Kenya! Hivi katika mazingira hayo, nikupende kwa lipi?!
Hivi Tanzania nzima hakuna viongozi mabepari kama wakenya? Kwa kweli siupendi ujamaa. Ujamaa unasababisha watu wanashinda njaa. Kwa mawazo haya ungegombea urais wewe ungepata kura yangu
 
Duh! Hii yote inasababishwa na nini mpaka unaongea kwa hasira na uongo wote huo? Ni chuki tu uliyonayo kwa mtu mmoja yaani Raisi Magufuli? Pole sana ndugu, vuta pumzi ndefu kwa sekunde kadhaa halafu kunywa maji labda itakusaidia!

Mkuu jaribu kupitia tena alicho andika, hapa anazungumzia kwamba kuna mbinu nyingi zinazo weza kutumiwa na washindani wako kukupiga vita vya kiuchumi/maendeleo. Mkuu hapo naona umutendei haki member mwenzako unapo dai kwamba ana chuki na Rais JPJM hakuna chembe ya ukweli kwenye madai yako, naona hukumuelewa vizuri.

Kumbuka moja ya mbinu za kukwamisha maendeleo ya majirani/washindani wako ni upikwaji wa tawimu zinazo tolewa na mashirika ya kimataifa ili kuonyesha mko mbali kimaendeleo au uchumi wenu unakua in double digit kuliko majirani zenu wakati hiyo si kweli, sasa nini athali ya usanii huo mnajikuta mnakosa misaada/mikopo kwa kudhaniwa mko mbali kiuchumi/maendeleo kumbe wapi. Hivyo upikwaji wa takwimu ni hatari sana kwa mstakhabari wa Taifa.
 
Asante sana Dr. Rweyendera kwa video ya mjadala huu ni very informative! .
Kuna sehemu wametusema vibaya, kuna sehemu wamemsema Magufuli vibaya! , na kuna sehemu wametusema vizuri na kiukweli nimejisikia raha sana Mwalimu Nyerere alipozungumzwa kwa msimamo hivyo kufananishwa na Magufuli! .

Kitu ambacho Sijakipenda kabisa katika mjadala huu ni kitendo cha kumsakama sana rais Magufuli kutohudhuria mkutano wao without any mention ya uwepo Makamo wa rais wa Tanzania aliyemwakilisha rais Magufuli! . Hawa wa Kenya wanamaanisha Mhe. Samia Suluhu Hassan is nobody worth mentioned! . Angekuwa ni male angetajwa!. Wabaguzi wakubwa hawa! .

Pasco
Alienda kassim majaliwa mwanaume
 
Naomba msaada.

Ukiwa "Mchochozi" (kama serikali inavodai) inje ya Nchi na sio Mtz Sheria ya mitandanoniinakuhusu?.
Na ukiwa Mtz nje ya Nchi je?
Msaada tu?
 
Mkuu jaribu kupitia tena alicho andika, hapa anazungumzia kwamba kuna mbinu nyingi zinazo weza kutumiwa na washindani wako kukupiga vita vya kiuchumi/maendeleo. Mkuu hapo naona umutendei haki member mwenzako unapo dai kwamba ana chuki na Rais JPJM hakuna chembe ya ukweli kwenye madai yako, naona hukumuelewa vizuri.

Kumbuka moja ya mbinu za kukwamisha maendeleo ya majirani/washindani wako ni upikwaji wa tawimu zinazo tolewa na mashirika ya kimataifa ili kuonyesha mko mbali kimaendeleo au uchumi wenu unakua in double digit kuliko majirani zenu wakati hiyo si kweli, sasa nini athali ya usanii huo mnajikuta mnakosa misaada/mikopo kwa kudhaniwa mko mbali kiuchumi/maendeleo kumbe wapi. Hivyo upikwaji wa takwimu ni hatari sana kwa mstakhabari wa Taifa.


Wewe na yeye wote hamna Akili! Tangu lini Kenya wakawa na uwezo wa kupika data za Kiuchumi za IMF na Benki ya Dunia?
 
wakenya na raisi wao ni mabepari haswa wanauchu wa uchumi they are ready to do anything
 
Duh! Hii yote inasababishwa na nini mpaka unaongea kwa hasira na uongo wote huo? Ni chuki tu uliyonayo kwa mtu mmoja yaani Raisi Magufuli? Pole sana ndugu, vuta pumzi ndefu kwa sekunde kadhaa halafu kunywa maji labda itakusaidia!

kweli kabisa jamaa yangu,kunachuki za kijinga balaa mhu duniani.
 
Sera ya Magufuli kutosafiri ni nzuri kubana matumizi, tukifuatilia kwa karibu sana mapato ya Tz kwa mwezi kusema ukweli binafsi bado naona yako chini sana, trillion 1.1 or 1.2 hii pesa ni kidogo sana, hii pesa ukitoa mishahara na kulipa videni kwisha kazi, na safari za Raisi zinaandamana na watu wengi, hivyo gharama ni kubwa, kwa hilo Kenya wangelimuelewa tu Magufuli. Ni raisi kuelewa , wala sidhani kama uhusiano umeteteleka baina ya Tz na Kenya, sema Kenya automatically huwa wana matatizo sana ya uelewe ambao umejificha kwenye lugha, hao wakenya walifuatilia vizuri sana sera za magufuli kwenye uchaguzi, na wakenya wengi walikuwa so impressed sana na upande wa upinzani wakijua ccm mambo yao ni yale yale hata Magufuli alipokuwa anasema atafuta safari zote za nchi walijua hili ni wazo la kuomba kura na hakuna utekelezaji, hivyo majority Kenya walikuwa wanasupport upinzani (chadema )ambalo sio jambo baya ni mtazamo ,lakini uchaguzi umekwisha na Magufuli anatekeleza alichokuwa anasema katika kampeni cha kutosafiri ,hata mkutanoa wa Afirica-China uliofanyika SA hakwenda, huu wa Japan hakwenda na mingine mingi sasa hao hao tena wanaanza kulalamika kuwa Magufuli snubs Kenya, sasa ufuatiliaji wenu katika maswala ya siasa na kuwa na media hizo zote bado hamjui sera za kiongozi aliyechaguliwa?

EAC, Hii jumuiya sio ya Kenya, ni jumuiya ya nchi kazaa ambazo kwa pamoja ndo zinaamua jambo kwa maslahi ya wote, sikuhizi kuna mambo yameibukia ya yanaitwa lobbying , jambo ambao ambalo halina maslahi kwa wanachama wengine lakini lina maslahi kwa mwanachama mmoja watu wanaanza kucampaign ili liweze kuungwa mkono, hii ni kua jumuiya, utajikuta unavyotafuta wapambe unashindwa unabaki kunyooshea vidole wanacha wengine, mostly likely katika Jumuiya hii imeshakuwa Tz is reluctant , how? kitu kizuri leteni tujadili kwa pamoja tukubadiliane kama jumuiya, sio tu basi mimi nataka kupiga dili fanyeni fasta tukubaliane tufanye hii kitu, so kwa nini usiingie kama wew? utasikia wanasema ni lazima uingie kama jumuiya ,tunaingia kama jumuiya sio kwa sababu ni lazima ila kwa Africa kuingia kama nchi moja hakuwanufaishi EU, china mwanzo iliingia na jumuiya ya Ulaya kama china, tena iliwekewa vikwazo kibao ikafika mahali china ikawa inangia na nchi moja moja za ulaya, ndo juzi kati imekubaliwa yenyewe kama china kuingia makubaliano na jumuiya nzima ya ulaya, sasa kama Kenya economy is superpower iweje utafute support? hapo ni jibu moja hakuna biashara ya maana ambayo jumuiya ya EU itanufaika ikiingia na nchi moja kama Kenya, wao wanajua mbali na maua ambayo 80% ya mashamba ya maua yanamilikiwa na raia wa kigeni tena hao hao wazungu wanajirekebishia tu masharti waweze kuuza kwa bei chee ulaya hakuna kingine cha zaidi Kenya inaweza uza, Lakini hao hao EU uatashangaa wanaweza ingia na EU na nchi kama Nigeria au SA .
 
Hivi mliochangia huu uzi zinawatosha kweli? Mtu analeta umbea nanyie mnamaliza bando zenu kuujadili? Ss kama hakwenda kenya so what??
 
The time when Kenya monopolised the political and economic top position in East Africa is coming to an end with the emergence of Dr Magufuli as the President. No only is he dictating the political and economic policies in East Africa, but also his leadership approach is a thorn to East Africa political leaders.

Hence, the Kenyas discussing the bad side of Magufuli is not differrent from what the opposition leaders in Tanzania are doing.

Magufuli, is a force in leadership to reckon with for his far reaching development vision, through unmatched and unwritten strategies. Who would have thought, in this world of neo-colonialism, an African leader would have guts to tramp on foreign investments, without a blink of an eye!
 
Back
Top Bottom