Recent content by Abdallah kimwaga

  1. A

    Je, mmiliki halali wa Mtoto ni Baba au Mama? Au wote wawili?

    Inategemea mtoto ana umri gani,kama ana umri miaka 7anaweza ulizwa mtoto aende upande gani
  2. A

    Suala la Mwanamke kujenga nyumba kwa siri lipoje kisheria?

    Inakuaje tukiacha mke anadai tugawane wakati kanikuta nimejenga ,vipi yeye ajenge Kwa mtaji niliompa Mimi na tusigawane
  3. A

    Suala la Mwanamke kujenga nyumba kwa siri lipoje kisheria?

    Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
  4. A

    Je, TCRA watazimaje simu bandia ifikapo June?

    Du hata sonny x bo.nayenyewe itaziwa?
  5. A

    Simba SC Na Maajabu yake

    Jokes kidogo sio mbaya
  6. A

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Mh..Magufuli siku ukienda shirika la reli,ulizia kitengo cha mabehewa kule kuna ufisadi wa kitosha mfano mteja akiihitaji behewa huambiwa mabehewa mabovu au yana oda.hiyo ni matakwa ya wafa nyabiashara wa maroli ambao huwapa pesa wahusika ili hiyo tenda iende kwenye maroli
  7. A

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habari, Jamani nahitaji mwenye uelewa wa kilimo cha ufuta, kuanzia kuandaa shamba mpaka kuvuna anielekeze.
  8. A

    Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

    ulimuonyesha udhaifu wako akaona huezi kupindua kwake
  9. A

    Natafuta mume wa kunioa tafadhali

    umesahau kumuuliza na yy anafanya juhudi.Gani kujiletea maendelao?anataka kuolewa ili awe golikipa
  10. A

    pitia usiipuuze hii story ni muhimu na ya kweli kabisa

    USidanganyike kumrudia atakuumiza zaidi
  11. A

    Vodacom ni wezi wa airtime

    NI kweli vodacom ni wezi waliokubuhu
  12. A

    oneni haya majanga...

    NIna mke lakini nina miezi kadhaa sijatakuna naye kimwili,kisa ni majukumu ya kimaisha,mke wngu ni fundi nguo,mm ni shopkeeper ni mara chache nalala nyumbani,lakini mke wamgu hua amechoka,kumbuka vipato vyetu ndio huendesha maisha yetu na watoto wetu 3.hivyo naogopa kumuachisha..kukosa kwngu...
  13. A

    Msaada

    Habari ndugu zangu.jamani naomba msaada.ni hivi nina mtoto wa miaka 12, tatizo lake ni kupatwa na kizunguzungu mara kwa mara .damu anayo yakutosha tu. Wajuzi wa mambo naomboni mnitajie japo dawa ili niweze kumaliza hilo tatiza la mwanangu.
  14. A

    Nifanyeje nanyimwa Tunda la Mti wa Katikati?

    ndugu yangu pole huko peke yako.tuko wengi 2..labda nikuulize mkeo anafanya kazi gani? Maana kuna kazi zingine zinawachosha wanawake mfano mafundi nguo
Back
Top Bottom