Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,378
Nawapongeza sana Simba kwa kuwa wa bunifu. Wamejiongeza zaidi. Baada ya kuona Timu yao imekosa muelekeo wakabuni vikundi vya kupiga viongozi wakakipeleka kwa mkopo hata kule Coast Union.
Wameanzisha vikundi vya ushangiliaji kwa timu yeyote itakayokuja Dsm ili mradi haichezi na simba.
Inatoa msaada wa kuwa msemaje wa timu yoyote ile. Pia wamejiongeza zaidi wanatoa huduma ya kukushikia nafasi bure huduma hiyo tayali Yanga na Azam wameisha faidika.
Haya kwa wale wanaoenda kigoma na reli ya kati usihangaike kugombea nafasi wasiliana na club ya simba watakushikia nafasi mpaka utakapo amua kusafiri