Suala la Mwanamke kujenga nyumba kwa siri lipoje kisheria?

Baada tu ya kufunga ndoa inatakiwa kushirikiana au kuweka mawasiliano namna mtakavyotumia fedha zenu kama wanandoa lakini ukiona mwanamke ameanza kujenga kwa Siri bila mume wake kujua hapa kuna tatizo ,na hasa ni mwanaume inawezekana siku za mwanzo tumekubaliana vizuri lakini kadiri siku zilivyoendelea mambo yameenda kombo.

Kwa mfano mwanamke amebaini kuwa mume wake anachepuka sambamba na kumjengea huyu mchepuko nyumba,pia mwanamke ikitokea shida au tatizo upande wa kwao wewe mwanaume umekuwa hutoi msaada wowote hapo ni balaa jingine.

Vilevile mwanamke akishakuchoka yaani amevumiliaaaaaa sasa anasema liwalo na liwe basi anaamua kujenga kwa Siri na kutafuta mchepuko kwa Siri hivyo ndoa hiyo lazima ivunjike kwa hiyo mkuu hapo hauna msaada mwingine zaidi ya kuvunja ndoa sijui kwa ndani hizi ndoa lakini kwa hatua hiyo mwanamke alikuwa anasubiri tu wewe ugundue ili iwe sababu.

Yaani hakupendi tena moyo wake umekufaaaaa yote kwa yote hapo juu kuna dada zetu tafuta pm mmoja andaa ndoa ya mkataba.

Asante
 
Under the eyes of law, hiyo siyo yako. Mama yako au ndugu yako akifa ghafla, watoto wa mama ambao ni ndugu zako watadai mali ya mama yao mgawane hivyo hivyo kwa watoto wa huyo ndugu... ni hatari vile vile
Ni sawa tu, bora iende kwa ndugu zangu kuliko ihesabike ni yangu na mume wangu siku tukifa ndugu za mume wachukue
 
Ni sawa tu, bora iende kwa ndugu zangu kuliko ihesabike ni yangu na mume wangu siku tukifa ndugu za mume wachukue
Kwa mjomba hakuna urithi, hapa humkomowi mume wala ndugu zake bali unawakomowa watoto wako.

Andika wosia wa mali zako na si ujinga huu ulioandika hapa.
 
Back
Top Bottom