Kwa niaba ya la familia yangu na kipenzi changu Curious gal tunachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango yenu ya dhati kabisa ambayo tumeifanyia kazi ipasavyo na imetusaidia sana kwa kweli. Mmeongea mengi ya kujifunza na ya kuzingatia kwenye mahusiano na niwahakikishie tu kuwa hamkuwa mkipoteza...
Point of Correction;
1. Wakati anaomba nilimweleza bayana itakuchukua dakika 45 mpaka lisaa limoja coz kuna ishu nafanya, hvyo nilimtaarifu.
2. Sikatai kosa, coz najua mimi ni mkoseaji mzuri tu but hata tunapokoseana jambo zuri ni kuongea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.