MR DISLIKE
Member
- Aug 22, 2015
- 65
- 51
Ni kweli kabisa haya mambo hayana ushauri.aAah aisee inauma sana unaweza kwenda jela ivi ivi..haya mambo hayana ushauri unaeza ukamfukuza mkeo mwanao akapata tabu zaidi..
Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app