Recent content by abbic

  1. abbic

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ndugu zangu, ungekua na rafiki kama huyu ungefanyaje!

    Kwa mtazamo wangu huyo rafiki yako anataka mgombane na mpenzi wako halafu yeye ndio ashike usukani achana na rafiki huyo
  2. abbic

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa form three anataka kuvunja ndoa yangu

    Pambana na genye zako shubamit
  3. abbic

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kashindwa kunisitiri kaona aniaibishe

    Stupid
  4. abbic

    JamiiForums Tanzania Tupia Movie ambayo Hujaielewa

    Ya kuhamahama vyama hapa Tz
  5. abbic

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

    Stupid
  6. abbic

    JamiiForums Tanzania Kwa kwenye ndoa tu: Hivi kumkaribisha rafiki nyumbani ni kosa?

    Mawasiliano katika ndoa ni jambo zuri ulifanya kosa kutokumjulisha mkeo mapema
  7. abbic

    JamiiForums Tanzania Lissu amshukuru Rais Magufuli kwa wema aliomtendea

    Sarcasm
  8. abbic

    JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Hamna mwanaume hapo hiyo ji jini mkata kamba
  9. abbic

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, unajua kuwa hauko hapo kumfurahisha Rais?

    Katiba yetu inasema serikali yetu inaundwa na mihimili mikuu 3 (Executive,Legislature & Judiciary) na yote inajitegemea lkn kipindi hiki naona mihimili 2 iko dhaifu sana mmoja ndio kila kitu sijui ni katiba gani inayoruhusu hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. abbic

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm mwl.sekondari nipo Muheza Tanga nataka kubadilishana na mtu mkoa wa Pwani wilaya ya bagamoyo au kibaha tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  11. abbic

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mpinga aondolewa Kikosi cha Usalama barabarani, SACP Musilimu achukua nafasi yake

    Thus demotion Sent from my SM-A700F using JamiiForums mobile app
  12. abbic

    JamiiForums Tanzania Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

    Yanga hawajapigwa butwaa wao walimpa dau akataka kubwa wakaamua kupotezea
  13. abbic

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanamke mgumu hivi

    Muoe utapewa papuchi kiurahisi
Back
Top Bottom