Tupia Movie ambayo Hujaielewa

nsyuka mimi siielewi na kuna movie kacheza tyson sikutaka kuimalizia sijui ip man aghrrr

na muvi ambayo hata leo asubuhi nimeamka nikaitazama ni badboyz hahaha my favourate
 
Wanajamvi, Kuna wakati unaangalia movie kuanzia mwanzo lakini huielewi, unajaribu kuendelea kuitazama kwa matumaini kuwa utaielewa lakini hadi inaisha unajikuta hujaielewa,

Tupia hapa jina la movie, pengine wadau wanaweza kusaidia kuelezea..

Naanza na hizi mbili

1. Inception
2. Twelve Monkey
3. ...

Karibuni
The Curious Case of Benjamin Button.
 
Back
Top Bottom