Recent content by a mfaume

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta avunja kanuni, amnyima Naibu wake fursa ya kuhutubia Taifa

    huyu william ruto apambane kivyake akitegemea uhuru amnadi kwa wananchi ili aweze kupata uraisi basi atafeli
  2. A

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

    hii ndo shida ya wanawake hawako tayari kuwa wa wazi mume anakuawa mbali na ww huwezi kujizuia mwambie muacheni umpate mwenzi wako atakayekutimizia haja zako kila unapojisika
  3. A

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani atangaza kufanya maandamano dhidi ya Serikali

    yaani huyo bora akamatwe awekwe kizuizini atulie huko hawa nd huwa wanaleta choko choko end of the day nchi inaiingia kwenye machafuko
  4. A

    JamiiForums Tanzania Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

    raisi wa ukrein anapata kiburi kutoka kwa america mwisho wa siku yy ndo anaathirika na uchumi wa nchi yake america wanashindwa kupeleka majeshi yao wanahofia kitakachotokea na maafa makubwa na rashia wako siriasi hawana utani kwa hili hata kama itamchukua muda mwingi kupigana lakini jambo lake...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Liverpool 4-0 Man United, Gary Neville asema "Sijawahi kuiona Man United mbovu kama hii ya sasa"

    tatizo wachezaji waliopo wengine hawastahili kuwa pale hii nd sababu kubwa ya kukosa matokeo ni sawa na baba haujui umuhimu wake ndani ya nyumba kila siku mtakuwa mnalala giza
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uingereza yakosolewa mpango wa kuhamishia wakimbizi Rwanda

    kwa kuwa rwanda in raia wachache acha tu waongezewe watu ili wachangamane waachane na ukabila huu ni mpango mahususi sababu hawa jamaa wana ukabila sana sasa wakichangamana na watu wengine ukabila utaondoka pole pole good aidear
  7. A

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Akutwa na Diesel lita 300 za kuiba kwenye magari makubwa

    tatizo mshkaji hajakata posho wameamua kumkomoa hili ndo tatizo la askari wetu kama hujaenda nao sawa hutoboi hata sekunde
  8. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yaingilia kati taarifa ya unyanyasaji wa wafanyakazi Kampuni ya Pepsi, Waziri asema anaenda kiwandani hapo

    Kama ni kweli huyo brigedia kafanya hivyo hapo kachemka. Kibali cha kazi ni miaka 2 una renwal tena 2 jumla miaka 4 hapo wazawa tayari wanakuwa washaelewa hiyo kazi Na ndo maana serikali inataka epart mmoja aambatane na watu kumi ili hata mmoja kati hao kumi waweze kujua hiyo kazi pindi muda...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky aomba watu duniani waandamane kuipinga Urusi

    kweli huyo rais ni mtu wa vichekesho na raia wa ukrein nao hawakuwa na utimamu wa akili kumchagua huyo comedian sasa acha wakione cha moto na bora akamatwe na majeshi ya urusi halafu ndo atalijua jiji
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maduka ya Dawa nje ya hospitali yaliyo ndani ya mita 500 kuondolewa

    Kuyaondoa hayo maduka siyo haki kwani unakuta mgonjwa wako anahitaji dawa kwa haraka hospitali hakuna unakwenda hapo nje hakuna umbali mrefu unapata dawa wakati mwingine ni usiku mwingi kama duka lingekuwa mbali na ni usiku kuifuata dawa huko mbali si unaweza kabwa na vibaka suluhisho la hilo...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki kwa kunyongwa na boflo na soda

    huyo mwenye ameleta hiyo shindano akamatwe apelekwe korokoroni kwa kushindanisha shindano za hatari
  12. A

    JamiiForums Tanzania Manyara: Baba aua mwanaye kwa kipigo akimtuhumu kumtukana

    ni udhaifu tu wa kufikiri tumkabidhi Allah maisha yetu mwanao uliyemzaa na kumlea akishafikia umri wa kujielewa unapomweleza kitu kwa faida yake hataki kuelewa matokeo yake anakutusi wala usimuadhibu muache mkabidhi kwa Allah kwa roho moja Allah atamuhukumu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Youtube yafuta akaunti za R.Kelly

    hili ndo tatizo lingine la mwanadamu mungu ametujaalia akili za kutosha lakini tunashindwa kuzitumia kwa ukamilifu wake
  14. A

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

    tuishi kwa na kutenda kwa kutumia akili zaidi kuliko kuendekeza utashi kwenye kutenda end of the day tutakuwa na mwisho mbaya
  15. A

    JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    sasa mkuu yy kachukizwa na uwanja wa fisi tu mi nilifikiri anataka kukomesha hiyo kwenye jiji lote kama ni hivyo atakuwa anawaonea
Back
Top Bottom