Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

Babu Putin alidhani itakua operation ndogo tu ndani ya masaa 72 atakua amemaliza kazi. Sasa amekutana na kisiki cha mpingo ameanza kulialia na vita 3 ya dunia. Atulie dawa imuingie vizuri
Putin alidanganywa
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa

Lavrov amemshutumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kujifanya anataka majadiliano. Pia, amekosoa mbinu za Kyiv kwenye Mazungumzo ya Amani akisema Nia njema ina mipaka yake, na kama haipo kwa pande zote mbili, haisaidii mchakato wa mazungumzo hayo

=======

Russia on Monday warned the Ukraine conflict risked escalating into a third world war and accused Kyiv of playing at peace talks a day after visiting US officials said Ukrainian forces could beat back Moscow's invasion.

The conflict has triggered an outburst of support from Western nations that has seen weapons pour into Ukraine to help them wage war against Russian troops.

Speaking to Russian news agencies, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov criticised Kyiv's approach to floundering peace talks, saying the risk of a World War III "is serious".

"It is real, you can't underestimate it."
While he said talks with Kyiv would continue, Lavrov accused Ukrainian President Volodymyr Zelensky of "pretending" to negotiate, adding: "You'll find a thousand contradictions."

For months, Zelensky has been asking Ukraine's western allies for heavy weapons -- including artillery and fighter jets -- vowing his forces could turn the tide of the war with more firepower.

The calls appear to be resonating now, with a host of NATO countries pledging to provide a range of heavy weapons and equipment, despite protests from Moscow.

"The first step in winning is believing that you can win," Pentagon chief Lloyd Austin told a group of journalists after he and Secretary of State Antony Blinken met Zelensky in Kyiv.

"We believe that we can win -- they can win -- if they have the right equipment, the right support."

The highly sensitive US trip by two of President Joe Biden's top cabinet members came as fighting continued across Ukraine, casting a long shadow over Easter celebrations in the largely Orthodox country.

- Zelensky hails resistance -
"Thanks to the courage, the wisdom of our defenders, thanks to the courage of all Ukrainians -- our state is a true symbol of the struggle for freedom," Zelensky said in his evening address vowing victory.

Following a weekend full of fighting, at least five people were killed and another 18 injured on Monday after a Russia rocket attack targeted railway infrastructure in the central Ukraine region of Vinnytsia.

On Monday, the governor of a Russian region bordering Ukraine accused Kyiv of bombing one of its villages, injuring two civilians and damaging several houses.

"A village was targeted... It is already clear that there are injured civilians," Belgorod region governor Vyacheslav Gladkov wrote on Telegram.

Russia in recent weeks has accused Ukrainian forces of striking targets on Russian soil, including two villages in Belgorod and another in the region of Bryansk.

The governor of the Kursk region near Ukraine also said Russian forces had shot down two Ukrainian drones in the early hours of the morning.

UK Defence Secretary Ben Wallace announced Monday that Britain would send Ukraine armoured vehicles able to fire missiles against Russian warplanes.

"These Stormer vehicles will give Ukraine forces enhanced short-range anti-air capabilities both day and night," he said.

The United States has been a leading donor of finance and weaponry to Ukraine, and a key sponsor of sanctions targeting Russia.

But it had not previously sent top officials to Kyiv. Several European leaders have already travelled there to underscore their support.

"Many countries are going to come forward and provide additional munitions and howitzers. So we're going to push as hard as we can, as quickly as we can, to get them what they need," Austin said.

Blinken and Austin also said US diplomats would begin a gradual return to Ukraine this week and announced $700 million (653 million euros) in additional military aid.

- Supply lines hit -
Forty German diplomats will meanwhile be heading home from Russia after Moscow announced their expulsion, following Berlin's decision to kick out 40 Russian diplomats earlier this month.

From The Hague, the International Criminal Court's chief prosecutor is to join an EU investigations team to probe "alleged core international crimes committed in Ukraine", officials said.

Russia's air force targeted 82 Ukrainian military sites, including four command posts and two fuel depots, and the army fired high-precision missiles at 27 targets in their latest attacks, the Russian defence ministry said on Monday.

The Ukrainian defence ministry said Russia was continuing to hit infrastructure and supply lines bringing military assistance from Ukraine's partners.

Ukraine's second city Kharkiv remains partially surrounded and Moscow's forces are regrouping in the south, but a Russian attempt to break through towards Zaporizhzhia in the east failed, the ministry added.

Russia on Monday accused Kyiv of preventing civilians trapped with Ukrainian soldiers in Mariupol's Azovstal steelworks from leaving the besieged industrial centre despite a ceasefire announcement.

The defence ministry had said it would allow a civilian evacuation from Mariupol's sprawling steel plant, which has been sheltering the remaining Ukrainian resistance in the southeastern port city
But the Russian army on Monday evening said no one used the proposed humanitarian corridor.

A video posted by the far-right Azov Regiment, whose fighters are based in Azovstal, showed war-weary women and children sheltering in the plant's underground bunkers, pleading for relief.

"There are 600 people here. No water, no food. What are we going to do here? How long will we stay here?" asked one woman.
"We haven't been out for two months now. I don't even know what the weather is like there. It feels like it's still February 28," said another woman.

Mariupol, which the Kremlin claims to have "liberated", is pivotal to Russia's war plans to forge a land bridge to Russian-occupied Crimea -- and possibly beyond, as far as Moldova.
Kwa hio wao wakigombana na ulaya na America ndio inakuwa vita ya dunia?
 
Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha vita vya nuclear na nchi inayoongoza kwa wingi na ukubwa wa nuclear.
Russia atapiga nuke ukraine akiamua na yoyote atakayejaribu kumjibu russia basi huo ndio utakuwa mwisho wake na wa dunia kiujumla.

Marekani wanalijua hili ndio maana hawawezi kutia mguu direct Ukraine.
Acha stori ZA kwenye kahawa
 
Ukraine: Amepewa masharti ya kumaliza vita, hayafati, anaomba silaha zaidi lakini pia anaomba mazungumzo na adui.😃.

Hapa lazima Urusi ashindwe kuelewa kuwa anataka mazungumzo au anajifanya anataka mazungumzo? Jibu amelitoa waziri wa mambo ya nje wa Urusi.
Huyo anayetoa masharti yeye anayatoa kama nani, si alijifanya mbabe sasa hayo mazungumzo tena yanatoka wapi si apigane tu kama alivyoamua toka alipofanya uvamizi.

Kitu gani alichoona kinachomfanya atake mazungumzo sasa wakati tayari yuko kwenye nchi ya wenyewe kimabavu, kishaua watu kibau na kuharibu miundombinu.

Yeye akaze buti tu apigane kwa sababu hiyo ndiyo njia aliyochagua toka mwanzo aache lawama za kijinga. Mwenye kisu 🔪 kikali ndio atakula nyama.
 
Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha vita vya nuclear na nchi inayoongoza kwa wingi na ukubwa wa nuclear.
Russia atapiga nuke ukraine akiamua na yoyote atakayejaribu kumjibu russia basi huo ndio utakuwa mwisho wake na wa dunia kiujumla.

Marekani wanalijua hili ndio maana hawawezi kutia mguu direct Ukraine.
Yaani hii dunia ambayo hao akina Putin wamezaliwa wakaikuta eti wao ndio waiharibu...!!! Hivi wewe unajua neno la Mungu kweli au ndio mnaingia humu mkishachochea vitu kichwani.
 
raisi wa ukrein anapata kiburi kutoka kwa america mwisho wa siku yy ndo anaathirika na uchumi wa nchi yake america wanashindwa kupeleka majeshi yao wanahofia kitakachotokea na maafa makubwa na rashia wako siriasi hawana utani kwa hili hata kama itamchukua muda mwingi kupigana lakini jambo lake lazima litimie end of day america ndo wahalibifu wa hii dunia kwa kutaka wao waonekane watawala wa ulimwengu
 
Acha stori ZA kwenye kahawa
Nimeandika sana kuhusu madhara ya nuclear kwa dunia na atmosphere ya dunia, na inavyoonyesha watu wengi hawajui kuhusu madhara yake
ambayo ni deadly even hata baada ya miaka 100, 500 mpaka 1000 au permanetly.
Seriously kwa mtu anayejua madhara ya nuclear basi anajua wazi kwamba ikitokea Nuclear war kati ya mataifa haya makubwa lazima uwe
mwisho wa dunia au baadhi ya sehemu kuwa uninhabitable kwa muda tajwa juu au milele na vifo vya mabillion ya watu.
1 Joto kuongezeka kwa kiwango kikubwa kiasi cha binadamu kushindwa kuishi.
2 Atmosphere kuharibika vibaya kutokana na contamination na labda kuungua kutokana na hiyo blast, yaani atmosphere inashika moto
na kuanza kuwaka kama kifuu, where you're gonna buy oxygen?
3 Ardhi itaharibika na kuwa contaminated na radiation hivyo kupelekea ukosefu wa chakula globally for years/
4 civilization collapse watu watakuwa kama mbwa na wanyama wa mwituni ili kusurvive ni survive of the fittest.
5 mabillion ya binadamu kufa emmdiately na billions more kutokana na aftermath.
6 Wanasema kiasi kidogo tu cha nuclear exchange kati ya nuclear na pakistan kujumuisha warheads 100 za hiroshima (little boy 15 kilotons)
zinaweza kuua watu zaidi ya billion na kusababisha nuclear winter.

Russia ndio wana the biggest nuclear bomb of all time na milele, the tsar bomba (50 megaton) hili dude lina nguvu mara 3,333 ya little boy wa USA. na akilipiga basi anachakaza new york nzima na kuwa jivu. kama little boy aliweza kuua watu takribani laki sasa imagine bomb kubwa jingine ambalo lina nguvu mara 3,333 yake litaua watu wangapi?
Kama india na pakistan wakifanya piga nikupiga na kusababisha apocalypse na kuua zaidi ya 1 billion people then fikiria nini kitatokea Russia na USA wakifanya exchange na hayo madude.
Je unakataa mpaka hapo sio mwisho wa dunia?

hebu nenda angalau wikipedia nenda kasome kitu kinaita Nuclear Holocaust, ni deadly catastrophic you can ever imagine.

Nimechoka kuandika same thing everyday hizi ni baadhi ya post zangu kuhusu nuclear war.

1 Russia au Putin sio mtu pekee mwenye Weapons of mass destruction lakini yeye pekee ndio mwenye "will" ya kuweza kuzitumia.
NATO na USA sio wajinga kama yeye ndio maana hawatomsikiliza sababu wanajua kitakachotokea.

2 Vita ya nuclear sio simple kihivyo kiasi cha kufanyia show off au piga nikupige kama manati na mawe.
Madhara ya nuclear ni world ending mostly the collapse of modern civilization na worst case scenario ni extinction.
Hata huku Africa tutahusika na madhara yake na hao NATO hawatakuwa na cha kufanya zaidi ya kukaa kimya tu sababu wanajua aftermath.
Putin anachofanya ni suicide attempt na dunia nzima ni mkubali au tufe wote.

3 Ikitokea Nuclear War basi hakuna atakayepona dunia nzima hata sisi huku afrika tutaathirika na hiyo radiation,
na radiation inaweza kufanya dunia iwe uninhabitable kwa miaka 1000 ijayo, na mostly atmosphere itaharibika vibaya kutokana
na hiyo holocaust.
Hapa tunaongelea mwisho wa maisha duniani kwa ujumla au baadhi ya sehemu za dunia kuwa uninhabitable kwa mamia na maelfu ya
miaka au extinction ya baadhi ya races.

4 Kama Russia wakianzisha vita ya nuclear mataifa mengine ni lazima yakae kimya ili kuepusha Nuclear holocaust ambayo itaangamiza
dunia nzima, na hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha hicho kitu.

5 United States walitumia nuclear weapons kwa hiroshima na nagasaki na hakuna nchi yoyote iliyomgusa.
Na Russia pia wanaweza kutumia nuclear weapons popote na hakuna atakaye mgusa sababu kila mtu anapenda amani nchini
kwake na maisha ya wananchi wake.
Ni afe mmoja au tufe wote na mpaka sasa putin ndio mtu pekee anayeonekana kuwa na will ya kudeploy nuclear na
wala hajali chochote zaidi ya maslahi yake.
Mambo ya nuclear sio rahisi hivyo kwamba mimi nikipiga basi kila mtu anapiga kama manati, na kusema kwani nani hana mawe!

6 Uwezekano wa kutokea Nuclear War ni mdogo sana na hakuna mtu anataka kugamble na hiyo catastrophic risk.

Watengenezaji wa silaha na scientists wenyewe wanasema nuclear could indirectly contribute to human extinction wewe nani upinge?
wewe nani mkuu?
 
Amka mkuu acha kuota.
Nimeandika sana kuhusu madhara ya nuclear kwa dunia na atmosphere ya dunia, na inavyoonyesha watu wengi hawajui kuhusu madhara yake
ambayo ni deadly even hata baada ya miaka 100, 500 mpaka 1000 au permanently.

Yaani hii dunia ambayo hao akina Putin wamezaliwa wakaikuta eti wao ndio waharibifu...!!! Hivi wewe unajua neno la Mungu kweli au ndio mnaingia humu mkishachochea vitu kichwani.
You have no Idea what I'm talking about.

Mrusi wa nkuhungu una mikwara sana, acha kuchukua story za kwenye vijiwe vya kahawa na kuzisambaza kama zilivyo, huyo russia hana huo ubora unajiaminisha kua anao
Hii haihusu ubora mkuu bali something way serious.

Huwezi mpangia adui yako apigane unavyotaka wewe, adui anatumia mbinu yeyote ile aliyoichagua
Marekani atadeclare war with russia soon baada ya kushusha wanajeshi wake ukraine na hicho ndio kitu USA hatokuja kuota kukifanya.
Silaha zao wanazotuma zinaharabiwa lakini USA bado anaogopa kwenda direct, hiyo sio mbinu bali ni uoga.
Wewe umejiuliza kwanini marekani alituma wanajeshi wake kwenye ardhi za nchi nyingine lakini anaogopa kukanyaga ukraine?

Just imagine Biden amejikanyaga kidogo tu white house ikabidi watengua kauli, hiyo tu ni sign tosha kwamba USA anaogopa direct war na Russia na hatojaribu.
 
Back
Top Bottom