Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,322
- 5,946
Wale waliojiunganishia bomba kigamboni wameyeyukia wapi😂😂
Hilo ni gumu sana!!hayo mafuta atakuwa anauziwa na madreva wa malori kwani ndio hufanyika karibu pembezoni kote mwa barabara kubwa.Huyo mwamba sio kwamba anaiba kwenye majenereta ya minara ya simu!
Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa
Emmanuel Juma (29) Mkazi wa Wilaya ya Ikungi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida kwa tuhuma za wizi wa Mafuta ya Diesel katika magari makubwa yanayopita Ikungi kisha kwenda kuuza kwa bei nafuu mtaani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema mtuhumiwa alikamatwa Aprili 9, 2022 na mafuta Lita 300 ambazo alikuwa amezihifadhi katika madumu ya Lita 20.
Kwakua anauza kwa bei nafuu wamsaidie kupata mafuta mengi ila wahakikishe hapandishi bei siku ya sikukuu.Mwamba akutwa na Diesel lita 300 za wizi, ameiba kwenye magari makubwa