Recent content by 9597

  1. 9597

    JamiiForums Tanzania Diploma holder niliomba chuo lakini sijapata mpaka sasa

    Tusubirieni round ya NNE, kwan hata mm niliwatembelea nacte ktk ofisi yao ya kanda ya ziwa, walichonijibu nisubiri tuu.
  2. 9597

    JamiiForums Tanzania Application 4th Round ni majanga. TCU wanazingua!

    Mm coz nilizo omba wameniambia sijameet minimum entry requirements sasa nashindwa cha kufanya kwan sifa zinanitosha kwa coz nilizozichagua
  3. 9597

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Diploma nao wakikosa chuo kuna kuomba tena?

    Wameambiwa waliochagua coz zenye ushindani wabadidi ndani ya siku 5
  4. 9597

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Diploma nao wakikosa chuo kuna kuomba tena?

    Watatoa muongozo
  5. 9597

    JamiiForums Tanzania Watu wa Diploma kwenda Degree waanza kuchaguliwa

    Mliman wamenitosa
  6. 9597

    JamiiForums Tanzania Majipu TCU lini yatumbuliwe?

    Sie wanatuonaje sijui hawa watu
  7. 9597

    JamiiForums Tanzania Majipu TCU lini yatumbuliwe?

    Ngoja ngoja yaumiza matumbo, haka kausemi kamechukua nafasi yake.
  8. 9597

    JamiiForums Tanzania Tahadhali: Kumbukeni kuna maisha baada ya chuo

    Maneno yako ni mazur kwan yanakumbusha maisha baada ya chuo, ni vyema sasa kusoma huku ukijua nikimaliza naenda mtaani kupambana na kitaa, kitaa sio kubaya ila itategemea unakujaje kitaani, ishu za kufanya kutumia elimu yako zipo na zile usizo tumia elimu yako nazo zipo, mi nilipo maliza chuo...
  9. 9597

    JamiiForums Tanzania Yahusu diploma holder to degree

    Ahsante mkuu
  10. 9597

    JamiiForums Tanzania Naona Nina gundu...

    Wew hufai unakamatwaje kizembe zembe hivyoo...tafuta mbinu mpyaa
  11. 9597

    JamiiForums Tanzania You will never know what you have until u lose it

    Mi nimekuelewa vyema kabisa
  12. 9597

    JamiiForums Tanzania Second round TCU inatoka

    Ndio afanye application mbona itakuwa too late
  13. 9597

    JamiiForums Tanzania Yahusu diploma holder to degree

    Kwa uvumilivu tuu, tunao, wangetuzingatia sis kabla ya form six kwani tuna process mpaka kwenda chuo, hatujaomba ruhusa za kwenda chuo wengine, tunasubiria admission bado ada ni shida, mkopo wenyewe haueleweki, ila mungu anawaona tuu.
Back
Top Bottom