Yahusu diploma holder to degree

Yahusu diploma holder to degree

Daaaaa nimekukumbuka rubii jamani na comments zako zile zilikuwa zinachangamsha sana jukwaa la elimu , daaa noma sana


teh! asante mkuu vipi tcu bado wanapanga tu hayo majina?
 
Bc Ilitakiwa Yawe Yameshatoka Maana Pia Kuna Baadhi Ya Vyuo tar 2/10 Wanaanza Masomo
Tufanyeje kama below3.5gpa na cc cjui tutapata mkopo tulikuwa tumejitoa fahamu tukatuma tu FM za mkopo lakini tukabaki kusubili irakavyokuwa ma Heslb nap wakaja na usemi kuwa hawakotayari kutoa mkopo kwa waombaji wapya .hatuelew kwa kweli irakuwaje
 
Hivi mama wa wizara hana account JF??? Naamini angeona vijana wake wanavyolalamika angetoa maamuzi magumu
Mama wa wizara yuko humu na anaona kila kinachoandikwa ila ni mara chache sana huibuka.
 
Kwa uvumilivu tuu, tunao, wangetuzingatia sis kabla ya form six kwani tuna process mpaka kwenda chuo, hatujaomba ruhusa za kwenda chuo wengine, tunasubiria admission bado ada ni shida, mkopo wenyewe haueleweki, ila mungu anawaona tuu.
 
Kwa uvumilivu tuu, tunao, wangetuzingatia sis kabla ya form six kwani tuna process mpaka kwenda chuo, hatujaomba ruhusa za kwenda chuo wengine, tunasubiria admission bado ada ni shida, mkopo wenyewe haueleweki, ila mungu anawaona tuu.

Umeongea kwa hisia sana mkuu. Pole!
 
Kwa wale Undergraduate applicant mlioomba KIU kupitia diploma chekini majina yenu maana naona jumla ya majina kwa kozi husika ni sawa na jumla ya form 6 na diploma ,mfano MBBCh jumla wapo 210 ukitoa form 6 idadi yao ni 180 kuna majina 30 yanabaki bila shaka ni diploma hao . Pia kwa Pharmacy jumla wako kama 208 na form 6 wapo 180 majina 28 bila shaka ni diploma holders .Jaribuni kuangalia na kozi zingine .
 
Back
Top Bottom