Majipu TCU lini yatumbuliwe?

Majipu TCU lini yatumbuliwe?

Tanzania kila kitu kinafanywa kienyejienyeji na kimazoea tu
Poleni masela
Hawa wajinga bora wakawachezee wake zao kuliko kutuchezea wanaume wenzao afu haya ni maisha yetu wao wanayageuza football ground kwanza hata waliopata post hawajajulishwa kwenye profle wanaenda wap kaz wanapewa kutafta majina kwenye vyuo walivyoviomba na unakuta majina yenyew hayana mpangilio mzur
 
Bora wangewaachia mfumo wa zamani(kuapply direct chuoni)
 
Hapo kwa mzumbe pananigusa sana Mkuu. Presha tupu. Sio Siri tcu wanazingua
 
Back
Top Bottom