Recent content by 6cent

  1. 6

    Nataka kujifunza kuhusu muundo wa JamiiForums

    Mdau hebu fafanua kidogo apo.
  2. 6

    Nataka kujifunza kuhusu muundo wa JamiiForums

    Nimepeta angalau mwanga thnxs ila bdo sijaelewa iyo XenForo inaifanya forum kuwa kwa web na pia mobile application au wanafanyaje..naomba kama wanaona hii post watusaidie piah
  3. 6

    Nataka kujifunza kuhusu muundo wa JamiiForums

    Wadau nimevutiwa sana na muundo wa JamiiForums kuanzia interface na functionality yake. Naomba kujuzwa imetengenezwaje kuanzia programming languages zilizotumika au ufahamu wowote juu ya ilivo be developed. Na je ni wenyewe JamiiForums wametengeneza au kuna company hutengeneza? Natanguliza...
  4. 6

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino akanusha kumtetea Makamba

    All in all after magu aje majaalwa tu. Kazi iendelee
  5. 6

    Biashara ya mchele wa Morogoro

    Kwa mfano nipo dar itanisaidia... Ila nataka ata mtu wa arusha au dodoma piah anufaike
  6. 6

    Biashara ya mchele wa Morogoro

    Itakuwa njema kama mtu akitoa uzoefu kutokana maeneo anayofahamu Mfano Moro to dar Moro to dodoma moro to tanga Xo maeneo ambayo una information nako itakuwa ok sana...shukrani
  7. 6

    Biashara ya mchele wa Morogoro

    Wadau naombeni pata ushauri na uzoefu juu ya kufungasha mchele toka morogoro kwenda mikoani. ..Mchele unapatkani vipi.mtaji,.bei ya mchele..usafiri, faida na changamoto. ..natanguliza shukrani msaada wenu muhimu
  8. 6

    Wamiliki wa website na app wanalipwaje

    Ni swali ninalojiuliza maranyingi kama linavyojieleza apo juu. Ni kivip mods wanapata pesa na mmiliki kiujumla. Pia nakosa ufafanuzi jinsi waanzilishi wa Mobile application wanapataje faida mfano..Telegram, Tubidy, Shazam na nyinginezo. Msaada wadau wenu utasaidia sana . natanguliza shukrani
  9. 6

    APP KWA AJILI YA VYUO VIKUU

    Mmetisha mno. Mpo serios nina ideal yangu long tyme kuhusu App. Sema sijapataga watu serious. Nitawataftaga by da way nice work
  10. 6

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    No free lunch
Back
Top Bottom