Biashara ya mchele wa Morogoro

6cent

Member
Dec 31, 2015
9
4
Wadau naombeni pata ushauri na uzoefu juu ya kufungasha mchele toka morogoro kwenda mikoani.
..Mchele unapatkani vipi.mtaji,.bei ya mchele..usafiri, faida na changamoto.
..natanguliza shukrani msaada wenu muhimu
 
km ni pendekezo haliko systematic eleza mchele huo unautoa moro sehem gn na mkoan mikoa gan au yt ya tz jmn
 
Itakuwa njema kama mtu akitoa uzoefu kutokana maeneo anayofahamu
Mfano
Moro to dar
Moro to dodoma
moro to tanga
Xo maeneo ambayo una information nako itakuwa ok sana...shukrani
 
Kwa mfano nipo dar itanisaidia...
Ila nataka ata mtu wa arusha au dodoma piah anufaike
 
Kwa mfano nipo dar itanisaidia...
Ila nataka ata mtu wa arusha au dodoma piah anufaike


Safi sana mkuu 6cent , nimependa hiyo positive mindset yako kwamba 'na wengine wanufaike kwa information''.

Mkuu vipi hii biashara ya mchele, ulianza kuifanya? tupe mrejesho, ulipofikia na changamoto zake.
 
Back
Top Bottom