Recent content by 2021mao

  1. 2021mao

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umelipa TSh 2,900 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22114568433. Muamala: 83853267696. Salio jipya ni TSh 62. Jumla ya Makato TSh 40. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 6. 05/10/23 20:56. Mpaka SASA sijapata token kuna Shida gani?
  2. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili tatizo la pikipiki yangu ya TVS

    Tushirikishe na sisi uzoefu ulipateje suluhisho?
  3. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

    Mwizi Mkubwa huyo, Anayetaka raia tuamie Burundi.
  4. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Walimu na CWT

    Mambo yamefika hatua hii, hawa ndio watetezi wa walimu.
  5. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

    Hapo ndo naona sasa Faida ya saikolojia. Elimu ya akili na mahusiano ya tabia ya mtoto katika mazingira aishiyo na kukulia yanavyojenga tabia za watoto wa Taifa la kesho.
  6. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunaandaa Muongozo wa Kulipa "Extra Duty" Kwa Walimu

    "Siri ya mtungi aijuaye kata" Ungekuwa Mwalimu ungefahamu yaliyomo ndani yake. Itoshe kusema hayo
  7. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujitoa CWT (Chama Cha Walimu Tanzania) njoo hapa

    Mijadala ya CHAKUHAWATA siioni humu Nisaidieni kutoka CWT wameninyonya kiasi cha kutosha
  8. 2021mao

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM haitapoteza jimbo hata moja, CHADEMA tulieni

    Sisi huku CCM hatuitaki kabisa mbunge analijua hilo na ameanza kujiandaa kutogombea maana ataanguka vibaya.
  9. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Onesha picha moja ya huo msafari na hayo magari tuyachambue.
  10. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wengi wenye uwezo mkubwa darasani huwa watundu na wasumbufu?

    IQ yao ni Kati ya 160 - 180
  11. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood ni wahuni

    Hongera, nasubiri mrejesho kwa mtoa uzi.
  12. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Why did God need a woman to create Jesus, But don't need a woman to create Adam?

    Nafikiri wanazuoni wa dini watatuchambulia vizuri haya mambo.
  13. 2021mao

    JamiiForums Tanzania Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

    Pole sana.
Back
Top Bottom