Basi la Abood ni wahuni

Basi la Abood ni wahuni

Asante sana kwa Taarifa nalifanyia kazi Muda sio Mrefu utaleta majibu hapa

Tunasisitiza Abiria wetu mnaopenda kupanda Basi Letu laAbood ni kosa kubwa sana kutokukaa kwenye Siti yako
Kwanza kwa usalama wako endapo chochote kitatokea pili sio Ustraabu kwa nyakati hizi

Tatu tunapoteza mapato kama Taasisi yetu Sisi

Ninamfanyia kazi haraka huyo Dreva naomba Ulete mrejesho hapa
Hongera, nasubiri mrejesho kwa mtoa uzi.
 
Route ya Moro-Dar-Moro Kuna mabasi ya Kampuni ya abood, Bm, AL saedy, New force
Ukiacha abood, Hao wengine hawaaminiki, wala hawaoni tabu kukuweka stand masaa 2 na bado njiani wakuweke masaa 4
Ndio maana watu wapo radhi wakae kwenye ndoo kwenye abood kuliko kuliko kukalia siti za New force au alsaedy
 
Back
Top Bottom