Recent content by 1muislamsafi

  1. 1

    Mdogo wangu amesoma HKL, Uhasibu chuo kikuu itawezekana?

    Na yupo mwengine kasoma hkl ila degree yake kamalizia chuo cha uhasibu arusha ..mambo ya account....kwa ushahidi huo anaweza akasoma uhasibu bila ya shida ila ajiandae kisaikolojia maaana sup nahisi zitakuwa za kutosha
  2. 1

    Mdogo wangu amesoma HKL, Uhasibu chuo kikuu itawezekana?

    Kunajamaaa yangu kasoma pcb lakini degree yake kamalizia ifm mambo ya account
  3. 1

    Makomandoo kufanya maonyesho siku za sherehe ni siasa au kwa sababu hakuna michezo mashuleni?

    Wakati naangalia na dogo nyumbani akaropoka tena kwa sauti akisema iyo hata Mimi nawezaaa...nilijukuta nacheka alafu nikakumbuga kuwa enzi zile nasoma shule ya msingi sisi ndiyo tulio kuwa twaenda kusherehesha kwa kujipindapinda kama vile
  4. 1

    Ni wazi hawa Arts teachers wengi ni kutoka poor families

    baba: mwanang naskia ajir zimetoka mbona we huna raha mtoto: izo ni sayans na hisbt mi nilisomea sanaa bab: kwanin hukusomea sayans na hesbt mwanangu? mtoto: unakumbuka kipindi nikiwa o level nilikwambia kuna mwalim mmoja tu wa masomo ya sayan shule nzima na nikakuomba pesa ya tuition ukasema...
  5. 1

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Kumbe kuchelewa kusoma na kutokufatilia mambo ni shida ......mwaka 2002 walitoa vyeti hadi kwa waliopata zero
  6. 1

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Tabu kweli kumuelimisha mtu aliesoma kipindi cha kikwete.......hiiii ni shida mtu aliye pata zero alikuwa anapata cheti hadi 2002 walivitoa
Back
Top Bottom