Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

Askofu Gwajima atoa cheti cha Daudi Albert Bashite na kusema kuwa alipata F masomo yote ya Sekondari hadi Bible Knowledge.

Matokeo hayo ni ya Kidato cha nne, Shule ya Sekondari Pamba.

Alama ni kawa ifuatavyo
  1. Civics - F
  2. History - F
  3. English - F
  4. Geography - F
  5. Biology - F
  6. Kiswahili - F
  7. Mathematics - F
  8. Physics - F
  9. Chemistry - F
  10. Bible Knowledge - F
Mwenye ziro hapewi cheti!
labda anaweza kuleta matokeo yake ya form 4 lakini sio cheti chake!
 

Attachments

  • tapatalk_1489916011729.jpeg
    tapatalk_1489916011729.jpeg
    36.8 KB · Views: 65
Ana Fafa zote...

Sipati picha hili saga lingetokea wakati ndio matokeo ya Form 4 yanakaribia kutoka.

Bashite, Fafa, Kolomije haya ndio majina a.k.a ambao wangepewa watoto zetu.
 
Mwenye ziro hapewi cheti!
labda anaweza kuleta matokeo yake ya form 4 lakini sio cheti chake!
Unaongelea hapewi cheti kwa mwaka gani?
Na je wewe umezaliwa mwaka gani?
Umeuliza kuwa wakiacha kutotoa vyeti kwa walio na zero tangia mwaka gani?
Au na ww ni bashite
 
Back
Top Bottom