NBS: Kuitwa kwenye usaili wa nafasi za Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi

Hardbody

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
3,551
3,807
National Bureau of Statistics (NBS) hatimae imetoa majina ya waombaji wa nafasi za Udadisi katika Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi (Household Budget Survey - HBS) katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Usahili huo Utafanyika 9/10/2017 katika chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) saa 2:30 asubuhi.

Usahili utakuwa ni wa Kuandika (Written - Interview) Kwahiyo My friend Usisahau kuja na Kalamu hahaaa

Baadhi ya Vitu Vya Kizingatia ni :-

*Njoo na Cheti cha Kidato cha Nne

*Kitambulisho Chochote kati ya hivi
Kitambulisho Cha Taifa/Uraia
Kitambulisho Cha Mpiga Kura
Leseni ya Udereva
Kitambulisho Cha Bima ya Afya ya Taifa - NHIF
Pasi ya Kusafiria

NB:- Atakayechelewa kuja kwenye Usahili Atakuwa amejitoa Mwenyewe.

Kwa Maelezo zaidi ingia humu:- National Bureau of Statistics | Statistics for Development

Sasa ndugu zangu Naomba tuanze Kupeana Dondoo za hapa na Pale za Usahili.

Nakaribisha Michango yenu, Karibuni Jamani.
 
Majina ya mikoa mingine wataweka lini? Maana huko ndio kichaka cha ufisadi
 
Dar mnafanya written?? Asee kweli waliomba wengi, kila la heri

Maswali ya oral yalikua

What is nbs
What is family
Mention members of a family
1,250,520/- in words

Majibu ya mikoani walisitisha nahisi walisubiri watu wa dar wamalize wakitangaza watangaze yote
 
Kwingine wameita kimya kimyaa?
 
Dar mnafanya written?? Asee kweli waliomba wengi, kila la heri

Maswali ya oral yalikua

What is nbs
What is family
Mention members of a family
1,250,520/- in words

Majibu ya mikoani walisitisha nahisi walisubiri watu wa dar wamalize wakitangaza watangaze yote
Asante kwa kushea ngj tudese haya maswali wanaweza wakayarudia hahaa
 
Back
Top Bottom