Recent content by 1992erick

  1. 1

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    duuh mara sec hiyo iwe siku ya nyama afu wewe ndo mgawaji unawahi sana kabla wenzako hawajafika unapiga 3 za fasta unatulia. zikipelea mnawekeana bifu na aliekosa
  2. 1

    JamiiForums Tanzania Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

    duuh 94 i was 2 yrs old. :shock::shock:
  3. 1

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu hizi, Ushindi wa Lema Arusha ni 79%+. Uchaguzi ni Mchezo wa hesabu

    nawashauri ccm wasipoteze pesa zao tu kwa arusha mjini
  4. 1

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuwa changudoa: Kileleni haihitaji baunsa wala tolu

    duniani kuna makubwa nisiyoyajua bora Mungu aendelee kunificha nisijue, sikuwah kuamini tz kuna watu watu wanachezeana.
  5. 1

    JamiiForums Tanzania Nawapa UKAWA siku 7 watekeleze hili. Wakishindwa wasahau kura yangu

    wewe ni kama tone la maji liangukalo baharini
  6. 1

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wakuu, ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Natanguliza shukrani ya dhati sana kwa walioanzisha thread ya UFUGAJI KUKU ilianza mwaka 2009-2010 wakati huo milikua bado nanuka maziwa sikujua kama kuna siku moja nitatakiwa kuwa na maisha yangu. Kifupi nilisoma thread zote zilizohusu ufugaji wa kuku wa kienyeji nilifata na nikajaribu kuanza...
  7. 1

    JamiiForums Tanzania ALIYESOMA DEGREE YA SCIENCE EDUCATION(CHEM na BIOS ) ANAWEZA KUSOMEA MEDICINE

    kama uwezo anao mwache akasome, na kwa njia hii ndivyo tunavyoongeza idadi ya madaktari nchini
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    kila mtu atapita njia aliyopangiwa kupita na MUNGU.
  9. 1

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    mbona hata watoto wanakufa mzee
  10. 1

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo tafadhali, pamoja na ushauri

    omba ualimu kwanza mengine baadae
  11. 1

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kutimiza malengo yangu

    kaka, kama hamna namna kabisa nenda tu kasome halafu utarudi nakupa mfano wa broo wangu alipenda sana kusoma kilimo hakua na uwezo hapo mwanzoni akachaguliwa ualimu akasoma 3yrs akamaliza akaajiriwa kajikusanya zaidi ya 5yrs kapata pesa akaacha akaenda mwanza pale kuna chuo cha mifugo kasoma...
  12. 1

    JamiiForums Tanzania Lowassa alishaanza kwenda makanisani kuomba kura, Juma Duni ole wako uje msikitini

    wewe ni kama tone lamvua katika bahari
  13. 1

    JamiiForums Tanzania Yuko Chuo Kikuu ila anataka kurudia mtihani wa CSEE kama PC

    asante mkuu wangu. fanya kitu unachokipenda kutoka moyoni mwako sana
  14. 1

    JamiiForums Tanzania Yuko Chuo Kikuu ila anataka kurudia mtihani wa CSEE kama PC

    unachokiongea hukijui.
Back
Top Bottom