Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tcl led 40d2700 smart tv nch 40 used Tcl smart tv fullhd resolution ina access ya internet yaani ni smart tv so iko na ethernet/wi-fi wireless so unaweza connect na simu yako or router nakuacces...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu. GPS car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hyyyyy wana Nangwanda sijaona... Now nipo Dar nataka nije Mtwara kuleta miradi yangu huko. Vp kuhusu pesa za korosho zishaanza kuzagaa huko...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wakuu nauza kiatu cat original kabisa kimenunuliwa UK kwa bahati mbaya hakijanitosha..ni namba 42. bei 180000
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Budget yangu ni 40k kodi miezi 3
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Wakuu Kama kuna anaejua mbegu nzuri ya pilipili hoho na sehem gani ntapata kwa hapa Dar Nipo Dar ntashukuru kwa msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaejua aina ya haya mawe aniambie wadau,na Soko lake liko wapi,jiwe lina rangi ya kijani
1 Reactions
127 Replies
12K Views
KWA ANAEJUA GARI AINA YA VEROSSA ANIPE ELIMU MAANA NAONA KAMA NI GARI NZURI KWA MTAZAMO.ALIYEWAHI KUITUMIA ANIAMBIE ILIVYO
1 Reactions
11 Replies
4K Views
ENGINE 3S. CC1880 MANUAL TRANSMISSION. 4WHEELDRIVE NEW TYRES. CALL 0759974831
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Ram 3gb Rom 32Gb Bei 130,000 Mawasiliao 0683520660
0 Reactions
1 Replies
574 Views
Nipo chini ya miguu yenu tafadhali...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimechoka sana kiakili kimwili na kiroho.......... Wana jukwaa nimekuja kwenu. Wakuu nahitaji chumba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
ANDROID TV BOX MXQ PRO 4K ULTRA HD INTERNET TV wapenzi wa mipira, movies, tamthlia hii itawafaa, TV box inakuwezesha kuangalia channels nyingi Sana bila kutumia king'amuzi chochote, utaweza...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
TV tajwa hapo juu inauzwa imetumika miezi mitano tu Bei: 150000/= nicheki 07643394000 Mwanza
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wapendwa, natumai wote wazima. Napenda kuwa tangazia biashara yangu ya matunda aina ya parachichi. Nauza jumla na reja reja ndan ya Dar na hata pia mkoani unaletewa. Kwa wale wajumla...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi niko kwenye hatua za mwisho za kuvuna karanga ndogo nyekundu. Bei yake ni Tshs 2,500 kwa Dar es Salaam unaweza kuweka order yako kwa kupiga simu number 0788-318671. Karibuni
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nina eneo katika makazi yangu nimelitenga kujenga nyumba ya ghorofa 3. Chini (basement) frame za biashara, floor ya kwanza ni kwa ajili ya bar & restaurant yenye counter ya bar, jiko, na vyoo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Anayueza simu tajawa hapo juu, naitaji Sifa Isiwe ya wizi Isiwe na mipasuko yeyote life time ya betry izingatiwe Bei iwe ya mkulima wa jembe la mkono Karibuni
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nahitaji lain ya wakala ya airtel money, mmiliki awe na document zote. Offer yangu ni 100,000/= njoo pm, au niandikie ktk baruapepe sirngonyani@mail.com
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Gari kali ya mchina anataka kurudi kwao Ipo : Victory Shelly Bei : 7.5M piga 0717436363
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom