Biashara yangu ya maparachichi...

Biashara yangu ya maparachichi...

muhuza parachich

New Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Habari wapendwa, natumai wote wazima.

Napenda kuwa tangazia biashara yangu ya matunda aina ya parachichi. Nauza jumla na reja reja ndan ya Dar na hata pia mkoani unaletewa. Kwa wale wajumla, nauza roba moja 85000 ra rombo kutoka Moshi.

Kwahiyo hela unaletewa popote ulipo na pia kuna parachichi ya Burundi roba 55000 unaletewa popote ulipo. Hizo ni bei za jumla na bei za reja reja tunda moja linaanzia mia mbili, mia tatu, mia nne, mia tano, mia saba, hadi elfu moja.

Bei inaendana na ukubwa wa tunda, hivyo kwa wale warejareja ukitaka kuanzia za elfu kumi na tano unaletewa popote ulipo.

Naomba tupigane tafu jamani kama kuna mtu anaitaji kwajili ya hotel mgahawa au kusafirisha nitafute kupitia

Namba 0654101438
Nipo Ilala Sokoni

IMG-20191107-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom