Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 433
- 91
Mkuu hizi picha ni demo tu au ndio karanga zako hizi??Wanajamvi niko kwenye hatua za mwisho za kuvuna karanga ndogo nyekundu. Bei yake ni Tshs 2,500 kwa Dar es Salaam unaweza kuweka order yako kwa kupiga simu number 0788-318671. Karibuni
Mkuu hizi picha ni demo tu au ndio karanga zako hizi??
Hizi karanga ni zile ambazo zinalimwa Rombo, Mwika na maeneo maeneo hayo mkuu? Nijuze Mkuu maana karanga hizo ni tamu balaa, sasa sijui na ardhi inachangia nayo.
Umetumia technolojia gani kutengeneza hiyo picha ya pamoja nimeipenda,Nawashukuru kwa order naendelea kuwakaribisha. Kupata karanga hizi Ahsante
Umetumia technolojia gani kutengeneza hiyo picha ya pamoja nimeipenda,
Thanks a lotPhotogrid mkuu unaweza kudownload hata kwenye simu na kuna nyingine inaitwa Collageit inaweza kufanya hayo ndugu
Thanks a lot
Nami napenda watu wenye moyo wa shukrani kwa lolote. Hongera mkuuMimi ninachoshukuru umeangalia beyond na kutafuta kitu positive actually nilikuwa najiuliza mkuu kwa hiyo very positive comment nikaipenda nakushukur sana.
Nami napenda watu wenye moyo wa shukrani kwa lolote. Hongera mkuu
>>> Ahsante; neno dogo lenye nguvu ya kuleta mabadiriko kiroho na kimwili - JamiiForums
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mimi hili neno limenikaa sana hata nikinunua kitu dukani lazima nishukurru.Nami napenda watu wenye moyo wa shukrani kwa lolote. Hongera mkuu
>>> Ahsante; neno dogo lenye nguvu ya kuleta mabadiriko kiroho na kimwili - JamiiForums
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mimi hili neno limenikaa sana hata nikinunua kitu dukani lazima nishukurru.