Nisaidieni nipate chumba hapa Dar, nimechoka sana

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,580
4,634
Nipo chini ya miguu yenu tafadhali...

Nimechoka sana kiakili kimwili na kiroho..........

Wana jukwaa nimekuja kwenu.

Wakuu nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Mabibo Hostel, Sinza, Changanyikeni, Survey, Makongo Juu, Ubungo External, Mwenge na River Side. Budget yangu ni 40 au 45 au 50k ila kama ni cha 50k nitatoa miez miwili anivumilie baada ya week 2 nimpe miez iliyobakia

Ningepata penye wapangaji wasiozidi wanne ningefurahi pia. Hata kama ningepata dalali poa tu ningempooza kidogo. Nicheki kwa namba 0759 432 654 SMS, WhatsApp pia.

Natanguliza shukrani.Ningefurahi mno maana nimechoka kila mahali akili,mwili na roho

Anayejua please
 
Wakusaidie nini? Wakati pesa ni yako ,sema kwa kujiamini maana sio msaada pesa unayo
 
Nipo chini ya miguu yenu tafadhali...

Nimechoka sana kiakili kimwili na kiroho..........

Wana jukwaa nimekuja kwenu.

Wakuu nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Mabibo Hostel, Sinza, Changanyikeni, Survey, Makongo Juu, Ubungo External, Mwenge na River Side. Budget yangu ni 40 au 45 au 50k ila kama ni cha 50k nitatoa miez miwili anivumilie baada ya week 2 nimpe miez iliyobakia

Ningepata penye wapangaji wasiozidi wanne ningefurahi pia. Hata kama ningepata dalali poa tu ningempooza kidogo. Nicheki kwa namba 0759 432 654 SMS, WhatsApp pia.

Natanguliza shukrani.Ningefurahi mno maana nimechoka kila mahali akili,mwili na roho

Anayejua please
Pole. Watakuja wanaoweza kukusaidia lakini nadhani wengi zaidi watakaokuja ni watu wabaya. Kwanini? Usipende kuanika namba yako ya simu hadharani hasa kama umetaja uhitaji wako. Unaweza usinielewe sasa hivi lakini usipokuwa makini utaelewa nilichoandika lakini kwa gharama kubwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom